"Bebi niazime gari leo, nina mizunguko flani". Hiki kikombe mnakiepukaje wadau?

vitu kama hivi unamuazima mtu kwa sababu za msingi sana.. na awe dereva wa uhakika..

mfano ugonjwa, mzazi kujifungua etc...

sio umuazime mtu aendee harusini au matembezini huku uber zimejaa
 
vitu kama hivi unamuazima mtu kwa sababu za msingi sana.. na awe dereva wa uhakika..

mfano ugonjwa, mzazi kujifungua etc...

sio umuazime mtu aendee harusini au matembezini huku uber zimejaa
Kabsa mkuu,uchungu wa ndinga aiujuae ni yule anaelipia bank.
 
Back
Top Bottom