"Beautiful Woman Is Another Man's Plaything"

Financial Analyst

JF-Expert Member
Nov 27, 2017
1,605
2,743
Kutoka katika album yake ya "House of Exile" ya mwaka 1991, Lucky Dube alitengeza masterpiece inaitwa "It's not easy". Nyimbo ambayo Lucky anaelezea alivyooa mwanamke aliyempenda sana kwa kiasi ambacho hakutaka kuchukulia kwa maanani swali ambalo mama yake (Mama Dube) alilomuuliza kuwa "Umechukua muda kumfahamu vizuri", yeye akamjibu mama yake kuwa huyo mwanamke ni bora.

Hii ni kama human nature, tunapo fall in love tunajenga fence kuzunguka mioyo yetu, tunafunga mageti yote kuzunguka akili yetu, then ufahamu na spirit ndani yetu vinazimwa, hatutaki tena kujua kitu kingine tena, hatuna uwezo wa kumwazia tofauti yule tunaempenda.

Katika hii nyimbo Lucky anaendela na kuutaja msemo wa "Beautiful Woman Is Another Man's Plaything (mwanamke mzuri ni kechezeo cha mwanaume mwingine)". Hajaelezea zaidi juu ya hio quote katika wimbo huo lakini naamini Lucky alichomaanisha hapo ni kuwa huyo mke wake alicheat (kuchepuka).

Life is crazy...man, leo unaamka na mwanamke unaeamua ku-settle nae, kesho anaamua kuchezewa na washkaji, sometimes ana kuchepuka kwa misingi isiyo na mantiki, labda ya kitu alichokosa kutoka nyumbani au anachoenda kupata huko.

How many times wana JF humu ndani wanakuja na story za kula wanawake za watu, How many times mimi au wewe labda tumeshalala na wake za watu kwa kujua au kutokujua. Na unapoanza tendo anaweza kukwambia kwamba yeye ni mke wa mtu na anajuta kwa kile anachokifanya, lakini ndio huyo tena anakuwa captain kitandani wala hafanyi kama mtu asio kuwa na hamu ya kile anachokifanya.

Oh please, usije na comments kuwa hao ni wanawake mara wa mijini, mara uswahilini, sijui wapi..,
Mara unyumba haumpi hakaridhika, haumjali, unamtesa..

...it just happens man, we omba isikutokee, na mara nyingine hautakaa ujue kuwa mke wako kuna mtu anamtumia, na siku ukijua dunia yako inabadilika.

Baadhi ya wanawake utawajali kwa asilimia 80 kutokana na uwezo wako ulionao na utapambana kwa full force ya 100% ili ukamilishe hizo asilimia 20, lakini watatumia full force ya asilimia 80 kukutesa kwa hizo asilimia 20 zilizobaki.

Kumjali mwanamke ni sehemu ya maisha yake, ni kama ilivyo damu, moyo, ini vilivyo ndani yake, its not something that you have to give, it is something you must give.
Tofauti na Mwanaume kumjali ni kama zawadi kwake. So mwanamke utamjali atafurahi, atakukiss, ataku-care kwa bashaha na atakuwa anakumbuka ulichomfanyia lakini atengenezi chapa moyoni mwake, haweki dhamana ndani yake, coz umetimiza kilicho chake, ndio maana anaweza fanya jambo wanajamii wakahisi labda ni kwa sababu ya kushindwa kwa mwanaume nyumbani katika majukumu kadhaa wakati jamaa ulijipinda.

So wanaume tunawajali wake zetu kwa kutegemea loyalty kutoka kwao, lakini yeye mwanamke anachokupa ni heshima.

Anyway, sijakaandika kukandamiza wanawake, hata sisi wanaume tunachangamoto zetu ambazo wanawake ndio expert wa kuzielezea kama tunavyoelezea zao.
 
...it just happens man, we omba isikutokee, na mara nyingine hautakaa ujue kuwa mke wako kuna mtu anamtumia, na siku ukijua dunia yako inabadilika.
Huwa hatuwasikilizi Wazazi.
Kwenye huo wimbo Lucky Dube anaulizwa na Mama take "Son, did you take time to know her" kijana anajibu kama Mbunge wa Ccm "Oogh Mama, she is the best"!!!
Haya ndio yanayotkea kila siku, unaulizwa hiki unajibu kile
 
Sijaweza kuisoma yote ila mimi nachotaka kusisitiza ni “futa akilini mwako suala la mwanaume kumpenda sana mwanamke”,hilo halipo Mungu alipomtengenezea Adam Hawa hakumuuliza amempenda au hajampenda alimwambia mwenzako huyo hapo kokotana nae kama kuna mengine utajiongeza,anayetakiwa akupende sana ni yeye wewe cha kuzingatia kwake ni je yupo smart kichwani?ana haiba ya kuitwa mama wa familia?

Huwa sitegemei kumuona kijana akilalamikia wanawake instead alalamike hela imekuwa ngumu au ndogo haitoshi kukamilisha miradi yake etc ila unakuta kijana analia mwanamke kamuacha huku akijua kabisa akili zao hazioni zaidi ya metre 10?ujinga wa mwanamke wewe unaweza kumpa assurance ya ndoa kisha mjinga mmoja jobless tu hapo mtaani akamshika masikio wewe ukaonekana hufai muhuni akamtia mimba akamtelekeza ila still akarudi kwako kutaka umsamehe awe mkeo huku ana mimba ya mtu.

Unadhani wapo timamu hawa??!
 
Back
Top Bottom