Beautiful Tanzania Ladies

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,794
287,947
Play%2BBoy%2BIda.jpg

Ida%2BPlay%2BBoy.jpg

mimi%2Bwith%2Bcynthia.jpg

http://total-knockout.blogspot.com/
 
Ashakhum si matusi lakini mbona naona wote kama wazungu wannabes? Ida ni mrembo kweli, lakini wa kiswidish! Ni maendelezo ya wakina Naomi Campbell, Rihanna n,k.Au ndiyo standards za urembo wa siku hizi? Lini tutaanza ku'celebrate' uafrika wetu? Au hakuna kitu kama hicho?
 
Yaani hivi waTanzania tunafurahishwa na hili la dada, watoto, zetu kwenda kuanikwa uchi kwenye haya ma playboy sijui manini? Jee, huu ndio ustaarabu? kama kujiweka uchi ni ustaarabu basi mbuzi, paka na mbwa ni wastaarabu kuliko sisi, wao daima wako uchi.
 
Ukifikiri sana hao mbuzi,paka na mbwa ni wastaarabu kuliko sisi binadamu! Lini umesikia kuna fisadi anatoka katika hao? Haya ya kutembea uchi, ni uhuru wao. Tusiwaingilie ili mradi wamefanya kwa hiari yao na ni watu wazima na hawamdhuru mtu mwingine.
 
Nakubaliana na wewe Dar, , yaani, hata ukicheki music videos zetu, wanaume wamevaa tena mara ingine kupita kiasi lakini wasichana vitovu nje, makalio nk
 
Ukifikiri sana hao mbuzi,paka na mbwa ni wastaarabu kuliko sisi binadamu! Lini umesikia kuna fisadi anatoka katika hao? Haya ya kutembea uchi, ni uhuru wao. Tusiwaingilie ili mradi wamefanya kwa hiari yao na ni watu wazima na hawamdhuru mtu mwingine.

Kama wewe huoni kuwa ni ufisadi kuwaweka wanawake uchi na kuwafanya ndio njia ya kuuza magazeti au bidhaa nyingine basi tunapishana sana kimtazamo na labda ni kuwa haujuwi maana ya ufisadi ni nini.

Hakuna hiyari kwenye mambo ya aibu ya kuwa weka hawa kina dada na mama zetu uchi ila tu kwa watu wasiokuwa na maadili na wale ambao sheria za nchi zao wamezifanya zikubali upotofu wa maadili na hawafati sheria za dini zao.

Jee, dada yako au mama yako utakubali afanye hivyo? kwa kuwa kapenda mwenyewe na ni mtu mzima?
 
Nifahamishe mbwa,paka au mbuzi gani amefanya ufisadi? Pengine kweli nahitaji shule ya neno fisadi. Nitashukuru ukinifahamisha.

Mama yangu au dada yangu akiamua kufanya hivi, mimi nani nimzuie? Au hauamini kuwa wao ni watu wazima wenye haki ya kufanya maamuzi wenyewe? Tunapoteza wakati kuchachamalia ya kijinga kama haya wakita yaliyo maovu zaidi tunayachangamkia! Jamii inayowaua bibi vizee kwa ajili wana macho mekundu, tunaowafanyisha kazi watoto wadogo, tunaowaangalia watoto wadogo wakijiuza kwenye mabaa yatu, tunaowachoma moto wale tunaowahisi wameiba kuku, tunaowatembeza tumbili mtaani tukiwa tumewafunga minyororo shingoni na vidonda vya bakora mwilini kama burudani, tunaoua watoto wetu kwa sababu ni vilema, tunaowaua wake zetu kwa kuamini kuwa wametuvunjia heshima, tunaowafungia jirani zetu katika nyumba na kutia kibiriti kwa vile si kabila yetu, tunaomchinja mtu hadharani kwa sababu tu si dini yetu na mengine mengi unaiita imestaarabika kuliko hao wanyama uliowataja? Kama unaona vitendo vya hawa mabinti haviendani na maadili yako kwa nini umenunua Play Boy? Si ungelipita tu na kuwaachia wenye haja nalo walinunue? Tusiwaingilie watu ati kwa sababu vitendo vyao haviendani na dini ZETU, maadili YETU ili mradi wana umri wa kutosha wa kufanya maamuzi wenyewe na wamefanya hivyo kwa hiari yao. Kama ni ndugu yako au rafiki yako anayefanya hivi, na wewe haufurahii anachokifanya basi usimkaribishe kwako.
 
Kama muono wako ndio huo wa kuweza kukubali mama yako na dada yako wapigwe picha za uchi na kuanikwa kwenye magazeti ya ngono. Sina cha kubishana na wewe kuhusu hilo na umeshinda hoja.

Sina taimu ya kukuelimisha kuhusu ufisadi naomba kajifunze mwenyewe.

Paka fisadi ni yule a) anaechomoa samaki kikaangoni wakati kipo jikoni (paka Mwizi) b) paka fisadi ni yule anaefanya ngono hadharani bila kujificha na kikwetu hapa dar ukiona paka namna huyo ni uchuro.

Kuhusu Mbwa na Mbuzi ukisha yaelewa hayo juu nadhani utapata jibu na kama hujapata jibu utajijuuuu.
 
Sasa wewe niambie mama yako au dada yako akipiga picha za uchi utafanya nini? Utamchinja?

Huyo paka amekuwaje fisadi wakati anachukua chakula kwa sababu umlishi? wewe unategemea ataishi kwa kumata panya tuu?

Kwa hiyo ukimuona huyo paka mchuro utampiga mawe kwa sababu amejamiana mbele yako? Huyo paka kwa kutimiza haja yake ya mwili anakusumbua nini?

Kwa hiyo kwako wewe tatizo kubwa hapa duniani ni kukaa uchi na kujamiana HADHARANI? Hauna tatizo na hao wanaovaa kanzu ( mapadiri na masheikh) wanaojamiana na wanaowaongoza (wengine wakiwa ni watoto wadogo) mafichoni?

Hatuwezi kulazimisha watu wote waishi kwa maadili yetu. Mbona tunakula ng'ombe bila kujali hisia za wahindi kati yetu?

Hapana Mkuu! Wewe ndiye utayekosa ustaarabu kama ukimchinja mama yako au dada yako kwa sababu vitendo vyao haviendani na mtazamo wako. Mungu atunusuru na wastaarabu kama wewe!
 
Yaani hivi waTanzania tunafurahishwa na hili la dada, watoto, zetu kwenda kuanikwa uchi kwenye haya ma playboy sijui manini? Jee, huu ndio ustaarabu? kama kujiweka uchi ni ustaarabu basi mbuzi, paka na mbwa ni wastaarabu kuliko sisi, wao daima wako uchi.

He he rewind few months ago...Mshindi wa BBA, walisema mafanikio yake yametokana na sera nzuri za CCM na serikali yake....!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom