Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,619 154,959 Dec 6, 2012 Thread starter #2 huyu kweli ni lifist , anakula bata mzinga kiuchoyoo
mwaJ JF-Expert Member Sep 27, 2007 4,074 2,947 Dec 6, 2012 #3 Ngoja nikatafute mfuniko nije kufunika hiyo beach!
shuve JF-Expert Member Oct 11, 2012 312 103 Dec 6, 2012 #7 Rahajipe mwenyewe! Mzee sio lazima upewa! Jamaaa katisha!
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 70,809 93,466 Dec 6, 2012 #8 Natamani mimi ndio ningekua: 1. Kitako cha hako kamtungi i guess you know what i mean 2. Hicho kilongalonga maana ningepapaswa kila mahali
Natamani mimi ndio ningekua: 1. Kitako cha hako kamtungi i guess you know what i mean 2. Hicho kilongalonga maana ningepapaswa kila mahali
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,619 154,959 Dec 6, 2012 Thread starter #9 watu8 said: Natamani mimi ndio ningekua: 1. Kitako cha hako kamtungi i guess you know what i mean 2. Hicho kilongalonga maana ningepapaswa kila mahali Click to expand... sidhani kama wewe watu8, wewe ni watu buku nane Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
watu8 said: Natamani mimi ndio ningekua: 1. Kitako cha hako kamtungi i guess you know what i mean 2. Hicho kilongalonga maana ningepapaswa kila mahali Click to expand... sidhani kama wewe watu8, wewe ni watu buku nane
Baba V JF-Expert Member Dec 29, 2010 19,482 9,517 Dec 6, 2012 #11 Beach ya Tabora nini,jamaa mbunifu sana huyu
englibertm JF-Expert Member May 1, 2009 9,252 6,207 Dec 6, 2012 #12 Huyu lazima awe mzamiaji anayetembea na ndizi napilipili mfukoni
Thanda JF-Expert Member Apr 6, 2012 1,915 596 Dec 6, 2012 #13 Kiranja Mkuu said: maisha ni vile uishivyo Click to expand... Na kama mtu hayawezi maisha bora aachane nayo
Kiranja Mkuu said: maisha ni vile uishivyo Click to expand... Na kama mtu hayawezi maisha bora aachane nayo