Beach beach beach beach

Von Mo

JF-Expert Member
May 7, 2012
1,819
1,185
Baada ya kuchoka sana na kazi, kesho jumapili(02.12.2012) nataka nitoke na dada moja hapa JF Chit Chat nikatembee Beach. Nitafurahi sana kama atajitokeza kwa kuni PM ili tuwasiliane.
 
Taja beach mkuu na eneo husika,beach sio dar tu,isikute beach mavi.na wake za watu lakini ni wadada wa jei efu pia unahitaji kutoka nao?
 
Back
Top Bottom