Be our Dj

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Tupeana burudani kwa kila 1ja kuwakilisha nyimbo chache anazopenda kutusikilizisha

Naanza kama Dj wenu

Sikilizeninyimbo hizi
Right Round wa Flo rida
Nimependa beats za huu wimbo nadhani pia ina ujumbe mzuri kama masikio yangu yanakinyaka kidhungu vizuri....U spiin my head right round when u go down down...... mhhhhh. Ni moja ya sound truck kwenye movie ya ugly truth


[ame="http://www.youtube.com/watch?v=UFrjp4IPXSY"]YouTube- Florida Right Round[/ame]

Kitu kingine ni
electric avenue wa eddy grant niliupenda wimbo baada ya kuona movie ya Pineable express.

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=UA5MtAmT24g"]YouTube- Electric Avenue - Eddy Grant (HQ Audio)[/ame]

Ni zamu yako sasa
Karibu na wewe uwe dj kwa kutuchagulia nyimbo unazopenda tusikilize .
NB
sio lazima link jina la wimbo na mumibaji vinatosha
 
hebu tuletee gospel bwana.............. hayo majoka na maboxfleva yenu sie tulishastaafu...............
 
hebu tuletee gospel bwana.............. hayo majoka na maboxfleva yenu sie tulishastaafu...............

ziweke hizo gospel mi nimepiga hizo . uko kwenye control room ya disco ni juu yako kuchagua wimbo utakao
 
Back
Top Bottom