(Be forward) Bei hizi za magari mitandaoni zipo sahihi kweli?

chaliifrancisco, Vipi mkuu hii calculator inatoa bei halisi?
Mfano gar nje nmeinunua million 3 had kufika hapa. Then tra calculator ikaonyesha million 5... Ko jumla ya gharama ya gar had mm naimilik inakuwa mill 8 au co?
 
hiyo USD 1500 sio CIF (cost, insurance and freight) bali ni bei ya gari pekee (cost). CIF itakua juu inaweza kufika hata mara mbili ya hiyo cost, na TRA ndio wanayoitumia kukokotoa kodi.
Wacha uongo ww,Au ni mmojawapo wa wenye yard hapo mjini?....
 
Mmh! Kuna jamaa aliangiza gari kupitia Bforward ilivyofika bandarin kakuta jamaa wamechomoa Redio na Spika zake.
Ishu ya kuagiza online sometime ni risk kubwa sana
Hivi huu wizi wa kuchomoa vitu upo? Risk ni ya nani sasa. Niagize gari ije taa hazipo na n.k wakati wa ku clear nani atakuwa responsible na hizo damage

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom