BE CAREFULL :UNYAMA WA SIDO NA Tanzania National Business Plan Competition (NBPC) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BE CAREFULL :UNYAMA WA SIDO NA Tanzania National Business Plan Competition (NBPC)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Feb 15, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,448
  Likes Received: 5,700
  Trophy Points: 280
  NDUGU WAPENDWA MLIOSHIRIKI KATIKA SHINDANO HILI LA SIDO WAKISHIRIKIANA NA HAWA NDUGU ZETU WA TPSF KWANZA NAPENDA KUWAPONGEZA KWA KUONYESHA UJASIRIAMALI WENU KWA KUJITAHDI KUTUMA APPLICATION KADRI MLIVYOWEZA...NI MAPENZI YANGU WENGI MMEFWATA MTAJI KAMA MTANZANIA ANAVYOPONGEZWA KWA KUWA NA IDEA NA KUKOSA MTAJI AKA CAPITAL....

  NDUGU WAPENDWA NAJUA WENGI AMKUANGALIA VIZURI FORM WALIYOLETA KWANZA NAOMBA NIONYESHE UHUNI HUU ULIOFANYWA NA SIDO KWA KUWADANGANYA WATU KWA KUANDIKA DEADLINE TAR MBILI TOFAUTI KAMA INAVYOONESHA HAPO CHINI..MMIMI NILIKUWA MMOJA WAPO WA WALIOULIZIA MWANZONI KABISA NIKAHAKIKISHIWA N TATIZO LA KIMAANDISHI NA KUHAKIKISHIWA KUREKEBISHWA LAKINI MPAKA TAR 11 FEB DEADLINE YA KWANZA INAONYESHA KAMA IFUTAVYO

  Additional NBPC rules

  Applications must be submitted in time, during the application period
  (between 17th
  January 2011 and 11th February 2011). No applications shall be received later than
  Friday 18th February 2011. Late applications shall not be considered. Sub

  NAFIKIRI SI VYEMA KUWADANGANYA WATU KWA SHINDANO LINALOHUSU UMUHIMU WA MAISHA YA MTANZANIA,..NA PIA NI VYEMA MKAWEKA WAZI WATU WENU MLIOWAPANGA KULIKO KUWAJAZA WALE WAMAMA NA WADADA WALIOWAHI KUTOKA KAZINI KUTAFUTA MKOPO MKUBWA NA MDOGO

  NISINGEEPENDA KUINGIA ZAIDI ILA NDUGU WAPENDWA NINAO USHAHIDI MKUBWA WA SHINDANO LILILOPITA LIKIWAHUSISHA NDUGU ZETU HAWA..WAPO VIONGOZI VIGOGO WA TPSF WALIOFWATA NA KUWAHAHAKIKISHIA WATU KIASI KADHAA KUANZIA MILLION 15-30 IWAPO UTAWAHAKIKISHIA WAO WATAPEWA NUSU YA MGAO

  NDUGU WATANZANIA..KAKA YANGU ALIKUWA MMOJA WA WALIOBAHATIKA NA HILI INGAWA MOYONI SIFURAHII ALIPONIFWATA NA KUNIOMBA ATUMIE JINA LA KAMPUNI YANGU TUVUTE MILLION 7.5 SIKUWA RADHI KUSHIRIKI NA KUMWAMBIA HUYO ANAETUSAIDIA AONI NI FEDHA NYINGI ANACHUKUA???KWELI BAADA YYA MIEZI KADHAA KIJANA ALIBAHATIKA NA KAMA MJUAVYO FEDHA ZIKO AINA MBILI HALALI NA HARAMU..HARAMU N JINSI UNAVYOITUMIA KIJANA AKANUNUA CORROLA YAKE LEO HII IKO PALE NYUMA YA OSTERBAY......R/OFF

  NASEMA HIVI NIKIWAJULISHA WAZI WATANZANIA TAR 11 FEB NILIONA WATU WENGI SANA WALIOKUWA WAKIHAHA NA WENGINE WALISIMAMISHWA NA ASKARI GETINI NA SIE TULIKUWA WA KWANZA KUWASHURUTISHA ASKARI MBONA MUDA BADO..LA HASHA WAKARUHUSIWA NA HIVYO KUNYIMA KIDUDU RUSHWA KUTAWALA HATA KABLA YA KUPOKEA

  SI VYEMA KUWEKA SHINDANO ZURI HIVI HADHARANI NA HUKU WATU KADHAA WAKIONGOZWA NA VIGOGO WA TPSF NA SIDO KUWAITA WATU NA KUWAELEKEZA JINSI YA KUJAZA..NILIUMIA SANA JINSI WAMAMA WALIVYOKUWA WAKIPIGA KELELE WAELEKEZWE JINSI YA KUJAZA INGALI WALIOFANIKIWA TAYARI WAMESHAANDIKIWA BP NA KUPELEKEWA WAFANYE KAZI YA KUPELEKA TU PALE SIDO NA KUHAKIKISHIWA PESA MINGI TU..NASEMA UKIWA KAMA MTANZANIA NA UNA CHANNEL ZAKO FWATILIA HILI..NATUMAINI UTAONA JINSI WAMAMA WALIVYOAIBIKA WAKATI WASHINDI WANAJULIKANA

  ONYO
  MSITAFUTE LAANA WALE WAMAMA WALIOKUJA KUPOTEZA MUDA WAO PALE SIDO LAANA ZAO AZITAWAACHA MKIWA NA WASHINDI MIFUKONI


   

  Attached Files:

 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,448
  Likes Received: 5,700
  Trophy Points: 280
  Mr laizer twaamini uadilifu wako utarekebisha viongozi wasiowaadilifu na kazi zao.ushauri usiangalie umefanya nao muda gani hao hao ndio watakuondoa kwa maandamano kama rais mubarak...
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Sa zingine huwa tunaogopa kuthubutu kwa kuhofia hayo mambo.
   
 4. l

  lolly New Member

  #4
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  if this is true then we are in a total mess! for sure this message left my heart beating 20 beats above its normal rate, im one of the participants who sent their applications n everyday i spend looking at ma phone n in box waiting for tpsf response anyway im still waiting!!!!
   
Loading...