Be Careful! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Be Careful!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by X-PASTER, Jun 12, 2009.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Jun 12, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
 2. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Unaposema dini ya mwenyezi Mungu unamaanisha nini X-Pastor?
   
 3. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mungu awarehemu watu hao.Lakini inaelekea kama walikuwa kama walevi watatu wanaokatisha barabara bila hadhari ya kutosha.
  Ajali kama hizi zinatokea kwa wingi sana DSM na lile gari la kwanza linlo gonga mtu/watu mara nyingi halisimami na wanamaliziwa na gari lingine.
   
 4. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2009
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Lol ...hivi walipona wale ?
   
 5. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #5
  Jun 16, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kaka Exaud J. Makyao, nashukuru kwa swala lako, lakini naomba nikukumbushe kuwa, suala lako halihusiani na hii thread hapa.

  Unacho kiuliza umekitoa kwenye signature yangu

  Na kama unasisitiza nikupatie maana ya signature yangu, kidogo nachelea kuisababishia hii thread kuelekea kwingine. Ila kama utapenda kufahamu maana ya neno dini, basi tafadhali fuata link hii hapa chini.

  https://www.jamiiforums.com/dini-imani/24631-dini-ni-nini-6.html

  Shukran

  XP
   
 6. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #6
  Jun 16, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kaka Exaud J. Makyao, nashukuru kwa swala lako, lakini naomba nikukumbushe kuwa, suala lako halihusiani na hii thread hapa.

  Unacho kiuliza umekitoa kwenye signature yangu

  Na kama unasisitiza nikupatie maana ya signature yangu, kidogo nachelea kuisababishia hii thread kuelekea kwingine. Ila kama utapenda kufahamu maana ya neno dini, basi tafadhali fuata link hii hapa chini.

  Dini ni nini?

  Shukran

  XP
   
Loading...