B-Dozen kuanza kusikika EFM Jumamosi hii

Ngareroo

JF-Expert Member
Aug 11, 2019
2,049
2,249
Inakuaje Wakulungwa I hope mko poa, Direct to the topic

The King of Afternoon radio shows,Hamis Mandi aka Bdozen,B12,B Twelve,B Twangala Twizzy,B kumi na Bee,B Wherever,The Navigator himself, The Born 2 Shine Clothing line CEO,,Baada ya Kuondoka Clouds Media Group (CMG)ambapo alikua aki'run Show ya Xtra Xtra Large(XXL)Kubwa kuliko akiwa na Kenedy the R'reeee,Adam Mchomvu,Mami Baby,Meena Ally na Perfect Crispin,, Presenter huyu Role model wa machalii wengi wenye dreams kwenye Journalism especially upande wa Entertainment aliamua kutimkia EFM&TVE...

Tangu atangaze kuhamia EFM hakuwahi kutangaza anaenda kutangaza kipindi gani pale Uswahilini,,Lakin Jana aliamua kuweka wazi kuwa sasa rasmi kabisa kuañzia wiki hii ataskika kwenye kipindi chake kipya kilichobatizwa jina la "E20 Na Dozen" Mala moja kwa wiki siku ya Jumamosi,,Ataishi apo..

So Get ready,Unamjua Twangala wewe??Tuishi nae2 maana Waswahili ni watu wengine...

@NgarenaroBoy
 
Underutilization of resources yan dozen kua na kipind kimoja per week bora angebaki mawingu
For sure kabisa man,,ilitakiwa tumskie Monday to Friday bhana,,labda atakua na kipindi kingine cha Daily ila iyo Ya Jumamosi iwe tu kama Top20 ya Mami Baby ambayo ni Jumapili2 ila Anaskika Daily kwenye XXL,,Nawaza kwa sauti lakini
 
Af sidhan ka ameshawah release kipind cha top yoyote before n kwa aina ya utangazaj wa dozen hatafit ila nahis though mwamba ni mkali sana maybe atatumia experience yake

Chalii yupo vizuri kwenye Countdown maana nakumbuka 2013 aliwahi kuachiwa Top20 na Millard Ayo kwa wiki mbili,,alisimamia yechu kinyama ani,hadi nilitamani aachiwe yeye kipindi siku zote,,So sina wasiwasi nae
 
kutoka kusikia radio inayosikika nchi nzima unaenda kwa radio inayosikika mikoa 5, anyway labda huku maslahi mazuri

zambi ya unajisi kwa wasanii wakongwe ambapo inasadikika amekua akiwawekea kauziba itamtafuna na atapotea awe kawaida kama sky worker
 
Kama ukipewa nafasi ya kuchagua offer ya kusikika mikoa 15 alafu ulipwe laki 5 au kusikika mikoa 5 ulipwe mil 1 + housing+ transport & communication utachagua nini?
 
kutoka kusikia radio inayosikika nchi nzima unaenda kwa radio inayosikika mikoa 5, anyway labda huku maslahi mazuri

zambi ya unajisi kwa wasanii wakongwe ambapo inasadikika amekua akiwawekea kauziba itamtafuna na atapotea awe kawaida kama sky worker

Mkuu,

Pep Guardiola aliziacha Barca na Bayern na kwenda Man City ilhali hii timu haina mashabk wengi duniani kulinganisha na Barca na Bayern,, sasa utatafakari mwenyewe kipi kilimpelekea akaenda City
 
Hapa itachagizwa na interest ya mwenye radio kama hana mpango wakuipeleka nchi nzima, hivyo itabaki issue ya umaarufu vs hela
Mkuu,

Pep Guardiola aliziacha Barca na Bayern na kwenda Man City ilhali hii timu haina mashabk wengi duniani kulinganisha na Barca na Bayern,, sasa utatafakari mwenyewe kipi kilimpelekea akaenda City
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom