Bcom in banking and financial services

peace11

Member
Aug 28, 2019
5
0
Wadau eti nani anajua vizuri hii course na je ina ajira?
Na ina tofauti gani na bcom in finance kwa pale udsm?
 
For my advice go for B.com finance ipo broad zaidi kuliko hio nyingine ambayo ipo too specific kwny banking only.!

Kuhusu ajira usiwaze sana kwa sasa wee soma kwa bidii then after mambo mengine Mungu atajalia huko mbele
 
Kasome kwanza then uje tutafuta tukupatie connection ..mambo ku guarantee ajira mkuu sio zama hizi
 
Back
Top Bottom