Bcom in accounting udsm vs BAF mzumbe, ipi ina soko huko mtaan?i

kyanyangwe

JF-Expert Member
Oct 31, 2018
1,147
2,745
Tuko kwenye vimbweta vya chuo hapa tunapiga story mbili tatu, mara ubishi ukazuka, na ubishi wenyewe ulikua ni kati ya bcom in accounting ya udsm na BAF ya Mzumbe ipi iko poa sana katika job market,
kila mmoja wetu alikua anavutia kamba kwake, so hatukupata muafaka, nikaona ngoja niwaulize nyie mlioko huko kwenye field husika huko maofisini na mitaa mtupe experiences zenu.
so naombeni michango yenu ya mawazo kwenye hili waheshimiwa.
karibuni
 
Yani hapo inakubidi usome tena CPA ili uweze kupata kazi nzuri sasa c ujinga uwo yani azina maana izo coz c mshauri mtu asome ayo macoz...
 
Mana kama huna CPA utasugua sana bench uwe na bafu uwe na choo cjui uwe na digrii gani ya uhasibu ila kama huna CPA utasota sana upati kazi ya maana labda uwe na connection kubwa mno.sasa c bora usisome yani unamaliza kusoma degrii ya account then unatakiwa uwe certified na CPA ili uwe muhasibu ila kama umesoma una degrii yako afu ujawa certified na board ya uhasibu ww si muhasibu na utakiwi fanya kazi za kiasibu yani hii inchi dah kazi kweli kweli sasa nn maana ya kusoma degree ya uhasibu chuo inamaana vyuo aviaminiki au..
 
Wewe umesomea nini mkubwa?
 
Soko la ajira halipo hivyo siku hizi.Hawaangalii BAF au BCOM, kama ni financial institution especially Bank(CRDB) wao wanaangalia GPA za juu tena kwa waliowahi kufanya Field kwao.
Nawafahamu jamaa zangu kadhaa wenye BAF ambao wako CRDB kwa sasa walikuwa na GPA nzuri na walifanya Field hapo pia wapo wenye BCOM pia ambao walifanya vizuri wako huko wameajiriwa.

Ukija kwenye soko la Serikali wao wana mfumo unaitwa Ajira Portal, huo unaita yeyote mwenye akaunti na aliyetuma maombi haijalishi una BAF, BCOM, BACC etc. na mwenye GPA yoyote.Nafasi 5 mnaweza kuitwa 400 kikubwa ni kukomaa kwako na utashi wako huko ndo utakusaidia kutoboa.

CPA ni added advantage kwenye soko la ajira na yeyote mwenye degree ya uhasibu yampasa awe nayo.

NB.
Kuna kada tofauti kwenye ajira ya uhasibu, kuna nafasi zinahitaji wenye CPA, zipo zinahitaji wenye degree, diploma mpka certificate.

Kwahiyo kama unasoma uhasibu wewe soma tu watu wanaajiriwa kila siku.Wala usikatishwe tamaa..!!
 
Nawafahamu jamaa zangu kadhaa ambao wako CRDB kwa sasa walikuwa na GPA nzuri na walifanya Field hapo pia wapo wenye BCOM pia ambao walifanya vizuri.

Ukija kwenye soko la Serikali wao wana mfumo unaitwa Ajira Portal, huo unaita yeyote mwenye akaunti na aliyetuma maombi haijalishi una BAF, BCOM, BACC etc. na mwenye GPA yoyote.Nafasi 5 mnaweza kuitwa 400 kikubwa ni kukomaa kwako na utashi wako huko ndo utakusaidia kutoboa.

CPA ni added advantage kwenye soko la ajira na yeyote mwenye degree ya uhasibu yampasa awe nayo.

NB.
Kuna kada tofauti kwenye ajira ya uhasibu, kuna nafasi zinahitaji wenye CPA, zipo zinahitaji wenye degree, diploma mpka certificate.

Kwahiyo kama unasoma uhasibu wewe soma tu watu wanaajiriwa kila siku.Wala usikatishwe tamaa..!!
so mheshimiwa,kwa mtazamo wako enzi zenu mnasoma kabla soko halijawa saturated. kati ya hizo mbili ipi ilikua nzuri zaid ya mwenzake iliyokua inakimbiliwa na watu wengi?
 
me nadhani bcom in accounts imekaa vizuri zaidi,watu wangu wa karibu waliosoma bcom in accounts hawakukaa sana mtaani.
 
Mambo ya baf, bcom bachelor in accounting yaliishaga, siku hizi ni cpa inakubeba....no cpa wewe bado ni karani
 
so mheshimiwa,kwa mtazamo wako enzi zenu mnasoma kabla soko halijawa saturated. kati ya hizo mbili ipi ilikua nzuri zaid ya mwenzake iliyokua inakimbiliwa na watu wengi?
Hakuna course nzuri zaidi ya mwenzake duniani,kila course ina umuhimu wake kijana...
 
Soko la ajira halipo hivyo siku hizi.Hawaangalii BAF au BCOM, kama ni financial institution especially Bank(CRDB) wao wanaangalia GPA za juu tena kwa waliowahi kufanya Field kwao.
Nawafahamu jamaa zangu kadhaa wenye BAF ambao wako CRDB kwa sasa walikuwa na GPA nzuri na walifanya Field hapo pia wapo wenye BCOM pia ambao walifanya vizuri wako huko wameajiriwa.

Ukija kwenye soko la Serikali wao wana mfumo unaitwa Ajira Portal, huo unaita yeyote mwenye akaunti na aliyetuma maombi haijalishi una BAF, BCOM, BACC etc. na mwenye GPA yoyote.Nafasi 5 mnaweza kuitwa 400 kikubwa ni kukomaa kwako na utashi wako huko ndo utakusaidia kutoboa.

CPA ni added advantage kwenye soko la ajira na yeyote mwenye degree ya uhasibu yampasa awe nayo.

NB.
Kuna kada tofauti kwenye ajira ya uhasibu, kuna nafasi zinahitaji wenye CPA, zipo zinahitaji wenye degree, diploma mpka certificate.

Kwahiyo kama unasoma uhasibu wewe soma tu watu wanaajiriwa kila siku.Wala usikatishwe tamaa..!!
We jamaa umetisha sanaa umeongea uhalisia uliopo
 
Accounting ndiyo nzuri! By the way mkiajiriwa halmashauri wote mtalipwa Tgs D
 
Mambo ya baf, bcom bachelor in accounting yaliishaga, siku hizi ni cpa inakubeba....no cpa wewe bado ni karani
Alichotaka kufahamu sokoni ipi kiasi ina unafuu na si unakuwa nani mkuu hayo mengine ni huko huko kazini maana kuna Taasisi mtu mwenye CPA hamfikii mtu mwenye Degree wa Taasisi fulani.
 
Back
Top Bottom