Bbm is good hasa upande wa privacy na emoticons. Whatsup its great sababu ni multi platform
Naomba maelezo kuhusu free call feature on bbm,what need to be updated mzee?msisahau na bbm pia inassuport free calling now kwa mtu wa bb mwenzako.
Kama yako haina ka update.
But all in all baada ya miezi kadhaa skype atawatingisha maana nae ameza kutoa multplatform client inayosuport kuchat kama watsapp +video call + call za kawaida itakua mzuka
Naomba maelezo kuhusu free call feature on bbm,what need to be updated mzee?
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
msisahau na bbm pia inassuport free calling now kwa mtu wa bb mwenzako.
Kama yako haina ka update.
But all in all baada ya miezi kadhaa skype atawatingisha maana nae ameza kutoa multplatform client inayosuport kuchat kama watsapp +video call + call za kawaida itakua mzuka
Hv hzo free calling huwa inakua vp. Maana najarbu ku call on my symbian na hela inakatwa kama kawa