China isingekuepo wala haya maendeleo ya Teknolojia yasingetufikia kwa haraka kiasi hicho.Yeah imeleta balance of power Safi sana yaani ...
Uingereza huwa inajikuta Kama vile wao bado Ni super power wakati pale ulaya kiuchumi kwa Sasa ujerumani ndiye anaye waburuza
Naam sahihi kabisa Tena Sana .. vitu vyao walikuwa wanaviuza aghari mnooo kitendo Ambacho kilikuwa kina chochea umasikini kwa baadhi ya mataifa ya Africa. Fikiria kama technology ya simu za mkononi ilivyo chelewa kusambaa Africa lakini alivyokuja mchina sokoni kila mtu now days anamiliki simu.China isingekuepo wala haya maendeleo ya Teknolojia yasingetufikia kwa haraka kiasi hicho,
Na sasahivi wangeshatuwekea sanctions za kihuni ila wanaogopa maana wataishia kupoteza na kumfaidisha mchina
kama mna uwezo huoHata bongo hawatakiwi kabisa hao makuwadi wa mabeberu.
Waingereza walivyo wa ajabu eti wanalalamika BBC kufungiwa kurusha matangazo nchini Uchina, eti hawajatendewa haki, lakini waingereza kufungia channel ya Uchina kufanya matangazo nchini Uingereza hiyo wanaona ni balabala maana Waingereza watakosa kusikiliza balanced maoni ya pande zote mbili - yaani Uchina na Uingereza - Waingereza wanataka rai wao wasikilize maoni/propaganda za upande mmoja tu. Waingereza wamekubuhu kwenye nyanja za propaganda/ramli chonganishi - lakini kwa Wachina Waingereza watakikwaa kisiki ndio watakuwa wa kwanza kuomba yaishe.Safi sana, kuna muda UK hua inataka kui treat China kama inavyo treat nchi choka mbovu za Kiafrica.
Hapo ndipo Mchina hua anawanyoosha vizuri.
Hii nikama ile day walioikamata meli ya Iran bila sababu alaf Iran alipofanya yeye itabidi uengereza aanze kulalamika na vitaifa vyengine kama marekani ujerumani Ufaransa na mashoga zao wengine eti wakaanza kupiga kelele meli ya uengereza iachiweWaingereza walivyo wa ajabu eti wanalalamika BBC kufungiwa kurusha matangazo nchini Uchina, eti hawajatendewa haki, lakini waingereza kufungia channel ya Uchina kufanya matangazo nchini Uingereza hiyo wanaona ni balabala maana Waingereza watakosa kusikiliza balanced maoni ya pande zote mbili - yaani Uchina na Uingereza - Waingereza wanataka rai wao wasikilize maoni/propaganda za upande mmoja tu. Waingereza wamekubuhu kwenye nyanja za propaganda/ramli chonganishi - lakini kwa Wachina Waingereza watakikwaa kisiki ndio watakuwa wa kwanza kuomba yaishe.
Mkuu, well said actually Waingereza bado wanasumbuliwa na remnant colonial hangover - hawana habari kwamba Dunia ya leo tofauti kabisa na enzi za British Empire - hakuna anaye wachukulia waingereza seriously any more, in other words UK counts so little kwenye masuala ya Geopolitics - wapo wapo tu kazi kuwatumia Intel agents wao ku-stir turmoil za kuanzisha colour revolution kwenye Mataifa lengwa - Uchina na Urusi wanalitambua sana hilo ndio maana wamejizatiti kuhakikisha kwamba that will never come to pass, wataishia kutapa tapa tu like a beatle on its back.Hii nikama ile day walioikamata meli ya Iran bila sababu alaf Iran alipofanya yeye itabidi uengereza aanze kulalamika na vitaifa vyengine kama marekani ujerumani Ufaransa na mashoga zao wengine eti wakaanza kupiga kelele meli ya uengereza iachiwe
TZ ikiweza kujiimarisha uchumi wake yenyewe na isitegemee misaada ya nje "kuyavimbia mataifa mengine yanapoingilia maslahi yake" haitakuwa shidaMungu ajaalie siku moja TZ iwe na nguvu ya kuyavimbia mataifa inapoingiliwa kwenye maslah yake.
CGTN vs BBCWaingereza walivyo wa ajabu eti wanalalamika BBC kufungiwa kurusha matangazo nchini Uchina, eti hawajatendewa haki, lakini waingereza kufungia channel ya Uchina kufanya matangazo nchini Uingereza hiyo wanaona ni balabala maana Waingereza watakosa kusikiliza balanced maoni ya pande zote mbili - yaani Uchina na Uingereza - Waingereza wanataka rai wao wasikilize maoni/propaganda za upande mmoja tu. Waingereza wamekubuhu kwenye nyanja za propaganda/ramli chonganishi - lakini kwa Wachina Waingereza watakikwaa kisiki ndio watakuwa wa kwanza kuomba yaishe.
Akili za kitegemezi kama zao ni hasara kwa taifa, yaani mtu hawazi kuendeleza nchi yake , anawaza kusaidiwa na wachina. No wonder wachina wanataka kuwapiga madole.China isingekuepo wala haya maendeleo ya Teknolojia yasingetufikia kwa haraka kiasi hicho.
Na sasahivi wangeshatuwekea sanctions za kihuni ila wanaogopa maana wataishia kupoteza na kumfaidisha Mchina.
Na sis huku hatuitaj sindano zao,tunapiga NYUNGU kwenda mbele.WHO pia hawatapewa taarifa yoyote kuhusu corona.
Naona wababe Sasa wameamua kuliamsha dude