BBC yamuhoji Daktari Muhimbili, asema watanzania wengi wanakufa kwa Corona. Awataka kuwa makini

BBC waongo hata haya hawana
Muhimbili hawatibu corona . Corona ina vituo maalumu vya kutibia . Hospital ya muhimbili haimo
Ili kulielewa ni vigumu sana mkuu...maana Daktari wa awezi kwenda kwenye Hospitali nyingine
 
Hao mabeberu Bado hawataki kuamini kuwa tumeshaachana na ujinga kitambo na sasa tunapambana kutokomeza kilema Cha umaskini walichotuachia.
 
Bill Gates ana nguvu kubwa mno kwenye media hizo kubwa, wamekula hela ili kueneza propaganda wanajuta corona imebuma kabla ya kutimia malengo yao ya chanjo.

Corona is bullshit.
 
Hao mabeberu Bado hawataki kuamini kuwa tumeshaachana na ujinga kitambo na sasa tunapambana kutokomeza kilema Cha umaskini walichotuachia.
Safi sana...maana walitukuta sisi matajiri tuna kila kitu,mashule,bara bara,reli,viwanda,hospitali nk
 
Safi sana...maana walitukuta sisi matajiri tuna kila kitu,mashule,bara bara,reli,viwanda,hospitali nk
Kwa elimu ya kikoloni uliyonayo lazima utaona kuwa hayo uliyoyataja ndio kipimo Cha maendeleo.
 
Hawa BBC kuna kitu wanatutafuta kama wanataka kuwaona wagonjwa wa corona si waende Kenya wapo kibao huko

Na huyo Doctor ni muongo kama angetoa idadi ya manesi na madoctor wenziwe waliokufa na corona hapo Muhimbili ndio ningemuamini
 
BBC waongo hata haya hawana
Muhimbili hawatibu corona . Corona ina vituo maalumu vya kutibia . Hospital ya muhimbili haimo
Yaani wamebugi kweli kwanza serikali ilishapiga marufuku sio tu mazishi ya usiku; bali mtindo wa kuchukua maiti za watu muda mrefu tu.

Halafu maambukizi ya COVID karantini ni wiki mbili kama mgonjwa katika muda huo utaonekana. Madereva wanakwama mpaka wa Kenya na Rwanda kwa zaidi ya wiki tatu mbona wasiugue au tusikute maiti au serikali itazifichaje maiti huko bila wengine kuona au kwanini wasiambukizane hao madereva.

Ifike wakati hawa majirani zetu waache kuiga maamuzi ya kipuuzi tuna jukumu la kujenga regional economy kwa pamoja.

Kweli mungu kuna wasaa anakuwa na Magu yaani kupitia hako clip chao serikali inaweza waumbua BBC vibaya sana ikaibua mjadala huko kwao hadi bungeni juu ya maadili ya hilo shirika.
 


BBC imeonyesha report kwenye tv kutoka tanzania ikionyesha serikali ikizika waliokufa kwa corona usiku wa manane.

Pia wamemuhoji Daktari wa Muhimbili aliyefunguka kuwa watu wengi wanakufa wakiwemo marafiki zake kwa Corona, amesema ni aibu na inatisha kwamba serikali inasema ugonjwa umeisha.

Pia BBC wameonyesha clip ya mchekeshaji Idriss Sultani akicheka picha ya Rais na kueleza kwamba mchekeshaji huyo aliwekwa jela kwa kosa la ajabu la kumcheka Rais.

Pia BBC wamemuhoji Zitto Kabwe aliyesema kwamba Serikali inaficha ugonjwa wa corona kwa kutaka watanzania wote wapate corona watakaokufa wafe na watakaopona wabaki na kinga.
Jinga kabisa. Kaolewe na hao BBC.
Mbona mnapenda kuichokonoa sana Tanzania? Wanaoandamana bila barakoa mbona hamuwaongelei?. Jinga kabisa wewe.
 
Hofu yangu uyo dactari asije kutekwa na kutoweka

Tuna Rais mkaidi haijapata kutokea yaani sijuwi wanaomshangilia kichwani zimwo kweli? au madishi yameshayumba.

Najitahidi kumsaport ila nafsi inanisuta sana sana nashindwa.
Furaha yangu inatimia kuwaona mafisadi mkilia kwa uchungu ni lazima muishi kama mashetwani
 
Naangalia hapa BBC world news tangu asubuhi hakuna habari kama hiyo na ishu .mtoa mada utakuwa umelewa mbowe wawili hapo
Coronavirus in Tanzania: Has Covid-19 disappeared?
In some African countries there’s simply not enough testing to get an accurate picture of how many people have been infected with coronavirus. In others, governments are reluctant to acknowledge the spread of the virus.
The Tanzanian government has stopped publishing coronavirus case numbers, and insists that the pandemic there is over.
The World Health Organization has warned that the spread of the coronavirus pandemic is accelerating in Africa.
There have been more than 200,000 confirmed cases on the continent but the actual figure is likely to be much higher.
The Tanzanian government was contacted for a response to this report but did not provide one.
Reporter: Andrew Harding
Edited by Christian Parkinson
  • 3h ago
 
Back
Top Bottom