BBC World Radio.. wameniomba....

nimeshamaliza.. nafikiri wataweka baadaye kwenye "World Radio" English Service kipindi cha Africa Have Your Say nilikuwa mwishoni kabisa mwa kipindi

I hope you didn't lie to us....
Nimesikiliza kwa saa nzima kipindi cha 'Have your say'... .hakuna Mwanakijiji....what the hell...?
 
I hope you didn't lie to us....
Nimesikiliza kwa saa nzima kipindi cha 'Have your say'... .hakuna Mwanakijiji....what the hell...?
duh saa nzima ngoja nifuata the lagaz kwanza .. mwanakijiji umetumia jina gani?
 
Nyani... umesema umesikilia "karibu saa nzima".... mimi nilifunga kazi baada ya wale jamaa waliokuwa wanajaribu kuelezea mauaji ya luck.. mimi nilikuja mwisho na nilitumia hilo hilo la Mwanakijiji..
 
kwenye bbc have your say, kawaida ukipost comment yako, zile comments zinachaguliwa na watu huwa wanapigiwa simu kutoa live comments zile zile.

kwa maana hiyo watakuwa wanataka kukisia tena moja kwa moja kile ulichokiandika kwenye comments (kama sikosei)
 
Nyani... umesema umesikilia "karibu saa nzima".... mimi nilifunga kazi baada ya wale jamaa waliokuwa wanajaribu kuelezea mauaji ya luck.. mimi nilikuja mwisho na nilitumia hilo hilo la Mwanakijiji..

Bwana wee..labda uniambie bado hawajapost kipindi kipya na kile nilichosikiliza mimi ni cha kutoka juzi! Sikukusikia hata kidogo na wala sikumsikia mtu yoyote akimuongelea Lucky Dube. Hata hivyo nitasikiliza tena leo labda watakuwa wameupdate na kuweka hicho kipya...
 
mwaka 1999 kama sikosei nakumbuka alikuja newsroom pale the guardian wakati inashare same building na itv. nilimwona nakumbuka nikajipimisha nae urefu alikuwa mfupi kwangu...

Mungu amlaze pema. Apumzike kwa amani baada ya kujibidiisha kuwakomboa waafrika kifikra.
 
Back
Top Bottom