BBC World Radio.. wameniomba....

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,392
39,495
To comment on the passiong of Lucky Dube sometimes today.. will be short, to the point, n.k... najaribu kukumbuka mwaka aliokuja Tanzania...
 
kwanini mimi sijui.. ila itakuwa kwenye Africa Have your Say kati ya saa saba na saa nane EST (-5GMT)..
 
To comment on the passiong of Lucky Dube sometimes today.. will be short, to the point, n.k... najaribu kukumbuka mwaka aliokuja Tanzania...

Nadhani alikuja Tanzania kati ya 94-95 wakati Rahma Aziz(I hope sijakosea jina) anatamba na kipindi chake cha mziki CTN
 
Icadon.. I think its around that time.. kwani najua alikuja baada ya 1990... Hata hivyo nisiwahamasishe sana.. kutegemea na muda wenyewe na nini wameshaniomba radhi kama kutatokea jambo lolote kukutowezesha hivyo like Breaking News.. or something..
 
Icadon, miye nadhani ilikuwa mapema zaidi, unless kama alikuja mara mbili. Nakumbuka nilikuwa nanunua kassette kutoka kwa 'filipino' dealer mmoja aliye base karibu na train station hapa DSM. Na tape ya mwanamziki mmojawapo ilikuwa ya huyu Dube baada ya show yake,

SteveD.
 
Ha ha wewe naweza nikawa nilishagongana na wewe kwa filipino, mie nakumbuka alivyokuja pale Diamond Jubilee, ikaibuka issue ya kuwa alimpenda huyo Rahma Aziz.
 
Ha ha wewe naweza nikawa nilishagongana na wewe kwa filipino, mie nakumbuka alivyokuja pale Diamond Jubilee, ikaibuka issue ya kuwa alimpenda huyo Rahma Aziz.

he he he, inawezekana kabisa... ni mimi niliye kuwa nauza 'mita za umeme na circuit breakers', je ulinunua angalau moja kutoka kwa filipino?! lol

SteveD.
 
Alikuja around 1995 or a bit later...alihojiwa pia na yule dogo (well enzi hizo alikuwa Dogo) wa ITV.
 
nashukuru, we'll have to come up with some colorful way of describing Dube to the world.
 
nimeshamaliza.. nafikiri wataweka baadaye kwenye "World Radio" English Service kipindi cha Africa Have Your Say nilikuwa mwishoni kabisa mwa kipindi
 
kizungu bwana... si unajua kipo kile cha kuombeaga maji.. ila kile cha kuzungumza kiingereza kwa Kiswahili...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom