#COVID19 BBC: Watanzania waliopata chanjo ya COVID-19 ni asilimia 0.6 tu!

Na dozi za chanjo zilizotolewa ni 350,000!! Kwa hiyo idadi ya waliochanjwa itakuwa pungufu ya hapo maana bila shaka kunawaliokwisha kupata dozi 2.
Hadi sasa kwa chanjo zilizoletwa ni 80%zimeshatumika, na kwa chanjo hii iliyopo kwa sasa hakuna dose ya pili, ni moja tu.
 
Back
Top Bottom