BBC: Wanzazibar warudi toka Somalia walikokuwa wamekimbilia baada ya machafuko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BBC: Wanzazibar warudi toka Somalia walikokuwa wamekimbilia baada ya machafuko

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Return Of Undertaker, Jul 6, 2012.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,371
  Likes Received: 8,463
  Trophy Points: 280
  Hawa ni wanzazibari ambao walikuwa wamekimbilia nchini Somalia mara baada ya machafuko visiwani humo na wakaamua kwenda kuishi Somalia toka 2001 hadi leo.Wanzanzibari hao wenye asili ya Pemba kwa idadi yao ni 21 wamepokelewa katika uwanja wa Karume na watatunzwa na UNHCR kwamiezi 4 na kuachwa wajitegemee.

  Concern
  Je Somalia ndio salama zaidi kuliko Zanzibar au Tanganyika?
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Mmoja kakaa miaka 11 kapata mke na kuzaa watoto 6!!
   
 3. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,371
  Likes Received: 8,463
  Trophy Points: 280
  Kawapataje wote hao
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  wamefuzu mafunzo ya kuteka meli? (najuwa hii BBC hawajaxema?)
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  duh alshabab ndo washaingia zenji sasa
   
 6. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kapewa zawadi kule Somalia.
   
 7. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  hawa jamaa kwa kuzaa...!?
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Yaani wakuke Mombasa waende Somalia? Kulikuwa na amani gani Somalia 2001?

  Sasa hivi Kenya inapigana na Al-Shaabab, labda hawa walikuwa wapiganaji huko sasa mambo yamekuwa mambo wakaona warudi. Ningeshauri serikali iwafuatilie kwa makini.
   
 9. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #9
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  nashangaa wameamua kurudi wakati mambo yanaanza huko zenji... wrong timing.
   
 10. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #10
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,995
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Hiki ni kituko kingine jamani,kule kwa Al shabaab kuna amani gani mpaka wakimbilie?hapa nina mashaka na hao watu inawezekana walienda kupata mafunzo kwa Al shabaab,wangechunguzwa kwanza.
   
 11. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #11
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Du inawezkana kweli hiyo?ana uwezo gani wa kuwatunza watoto hao sita katika miaka 11, guy must be very rich
   
Loading...