BBC wamekuaje mbona waongo sana siku hizi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,550
44,701
BBC Siku hizi ni mabingwa wa fake news kwa kweli mmeshuka sana thamani kwa habari zenu za mtandaoni hasa BBC swahili nikiingia kwenye page yao nakuta habari za kitoto za uzushi..Idhaa bora kwa sasa naona ni DW hata documentaries zao zinafikirisha.
 
Back
Top Bottom