BBC Waanza Kuinang'a Tanzania Kwa Mauaji ya Albino | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BBC Waanza Kuinang'a Tanzania Kwa Mauaji ya Albino

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kagalala, Jul 3, 2012.

 1. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Wakuu BBC FOUR (UK) wapo hewani wana programme ya saa nzima wakieleza mauaji ya Albino Tanzania. Programme inaonyesha maeneo ya Kanda ya Ziwa (Shinyanga, Tabora na Mwanza).
  Naona kama wameguzwa na kinachoendelea Tanzania kuhusu Madaktari sasa wanaanza kuonyesha ulimwengu jinsi Tanzania ilivyo.
   
 2. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Yeah ni kweli kabisa mkuu, hawa watu ni hatari sana ndio nipo naicheck now.
   
 3. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
 4. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  kweli wameamua mwaka huu watasingizia tena ni CHADEMA. So touching cha ajabu vyombo vetu vya habari hawaonyeshi hili.
   
 5. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Hawa jamaa wanaonyesha vitu vya miaka 3 ya nyuma kweli!! Kweli wana issue na sisi
   
 6. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  mwaka huu tunalo
   
 7. T

  Talklicious Member

  #7
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chezea kuweka bendera ya Tanzania kwenye meli za Iran, wanataka kutufunga kila mahali. Sasa hivi ukitaka kwenda UK itabidi uonyeshe vielelezo kuwa huusiki na mauaji ya Albino lasivyo hupati visa
   
 8. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wacha waoneshe kwani serkali imeshindwa kuzuia hiyo hali.
   
 9. kmbwembwe

  kmbwembwe JF-Expert Member

  #9
  Aug 20, 2014
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 6,425
  Likes Received: 1,394
  Trophy Points: 280
  kujibu swali hilo inafaa kuuliza maswali yaafutayo:
  -Je ni kweli viongozi wengi wa kisiasa nchini wanaamini uchawi?
  -Je ni kweli viongozi wengi wa kuchaguliwa nchini hutegemea waganga wa kienyeji (wachawi) kushinda katika uchaguzi?
  Ukifuatilia utaona uchaguzi tanzania unazidi kuchkua sura mpya kadri viongozi wetu wanavyozidi kua fisadi.
  Kwanza ilishakubalika huwezi kuchaguliwa bila fedha. lakini sasa imekua pia huwezi kushinda bila kuloga.
  Bahati mbaya sana huko kwa waganga wanaambiwa malighafi ya ulozi ni viongo vya albino.
  Hivi kweli viongozi wanaolngia madarakani kwa mtindo huo wanaweza kuwakamata na kuwahukumu wauaji wa raia wenzetu walemavu wa ngozi? Mungu atunusuru na balaa.
   
Loading...