#COVID19 BBC: Uganda yaweka wanajeshi mpakani na Tanzania baada ya watu kutokea Tanzania kugunduliwa na Corona

Duh we jamaa kweli nimeamin ww sio mkenya yaan hujui english completely !! Title ya uzi wako na article uliyo paste haviendan

Napenda mnavyojiliwaza ila ndio ukweli wenyewe, Uganda kaweka UPDF kabisa mpakani, hamna tena kuingia kwao kinyemela, utachezea vichura hadi ukome, ukifika hapo mpakani panua mdomo hadi jino la mwisho, kisha kifaa cha kupima corona kitumbukizwe humo, ukipita huo mtihani ndio uruhusiwe kuingia kwenye taifa la Abaganda.

Kwanza hawa wanalazimisha hata baina ya ndugu, bora sisi kiaina tunafumba macho kwa watu mpakani haswa wale tunaochangia makabila kwa mfano Wadigo, Wamaasai n.k.
 
Back
Top Bottom