pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,344
Kwani ni nani amesema kwamba watu hawataendelea kuchapa kazi? Hizi ni wanzuki za jua kali na njaa, sio bure.Ishu kubwa na ya muhimu ni kwamba, watu wataendelea kupiga kazii..kufanya biashara. Hilo ndio la muhimu. Na hao wanajeshi wapo hapo mpakani ili kuhakikisha biashara inafanyika kwa utaratibu hapo mpakani.