BBC Swahili ya enzi hizo!

Kamgomoli

JF-Expert Member
May 3, 2018
1,865
3,800
Kigara eee! Amka na BBC, Kinshasha eeh! Amka na BBC kwa masafa mafupi na ....

BBC ya enzi hizo asikwambie mtu.Ilisheheni manguli wa habari. Lubunga Byaombe (DRC) Tido Mhando, Suzan Mongi, Mariam Omary, Aisha Yahaya, Chama Omary Matata, Greipo Mbea (Mtaalamu wa mashairi), Iddy Seif, Zuena Seif, Suluma Kasimu, Ali Salehe, Ali Mutasa (Mtaalamu wa uchumi), Abdalah Majura,( Michezo). Baadae wakaja akina Hasan Mhelela, Salim Kikeke, Charles Hilal. I surely miss those ancient beautiful days.
 
Kigara eee! Amka na BBC,Kinshasha eeh! Amka na BBC kwa masafa mafupi na ....
......BBC ya enzi hizo asikwambie mtu.Ilisheheni manguli wa habari. Lubunga Byaombe(DRC) Tido mhando, Zusan Mongi,Mariam Omary, Aisha Yahaya, Chama Omary Matata, Greipo Mbea,( Mtaalamu wa mashairi) Iddy Seif, Zuena Seif, Suluma Kasimu ,Ali Salehe, Ali Mutasa ( Mtaalamu wa uchumi),Abdalah Majura,( Michezo).Baadae wakaja akina Hasan Mhelela, Salim Kikeke, Charles Hilal. I surely miss those ancient beautiful days.
Ali Salehe mwisho wa matatizo
 
Kuna yule mama ana sauti nzito kama ya kiume.... alitoka IPP akaenda BBC. Alikuwa anasoma taarifa ya habari siku za jumamosi mechi ikiwa inatangazwa.
 
Toka mkenya alipopewa ukuu wa idhaa ndio ukawa mwanzo wa kuiharibu radio yetu pendwa. Siku hizi inatia kichefuchefu kabisa. Wamejaa wajaluo hata Kiswahili hawajui. Wamelazimisha makao makuu yawe Nairobi wakati utafiti wao wenyewe BBC unaonyesha wasikilizaji wengi wapo Tanzania.
 
Kigara eee! Amka na BBC,Kinshasha eeh! Amka na BBC kwa masafa mafupi na ....
......BBC ya enzi hizo asikwambie mtu.Ilisheheni manguli wa habari. Lubunga Byaombe(DRC) Tido mhando, Zusan Mongi,Mariam Omary, Aisha Yahaya, Chama Omary Matata, Greipo Mbea,( Mtaalamu wa mashairi) Iddy Seif, Zuena Seif, Suluma Kasimu ,Ali Salehe, Ali Mutasa ( Mtaalamu wa uchumi),Abdalah Majura,( Michezo).Baadae wakaja akina Hasan Mhelela, Salim Kikeke, Charles Hilal. I surely miss those ancient beautiful days.
Ali Mutasa.
Makala zake uwe na akili sana ndio umuelewe. Namkubali sana pia Chama Omar Matata.
 
Kuna jamaa alikuja na uzi humu akidai kasumba ya kusema eti, "kitu fulani ilikuwa zamani bwana"
ni ujuha.
Utasikia, ndoa zamani bwana,
Mara usikie, wanawake zamani bwana.
Na wewe umekuja unasema vile vile, eti BBC ilikuwa zamani,
kwahiyo ya sasa hivi imekuwa Baba yako au!
 
kuna yule mama ana sauti nzito kama ya kiume.... alitoka IPP akaenda BBC. Alikuwa anasoma taarifa ya habari siku za jumamosi mechi ikiwa inatangazwa.
Huyo ni Oumilkheir Hamidou ana sauti nzito na nzuri sana akitangaza, wa DW
 
Toka Mkenya alipopewa ukuu wa idhaa ndio ukawa mwanzo wa kuiharibu Radio yetu pendwa. Siku hizi inatia kichefuchefu kabsa. Wamejaa wajaluo hata Kiswahili hawajui. Wamelazimisha makao makuu iwe Nairobi wakati utafiti wao wenyewe BBC unaonyesha wasikilizaji wengi wapo TZ.

🤣 🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom