Uchaguzi 2020 BBC Swahili wamesema kwenye makubaliano yetu na kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick kwenye zile asilimia ni kama tumepigwa

Top TZ

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
499
1,000
Watapeli sio Barrick ni Magufuli na CCM.

Ndio wanaohadaa watz kwa kuomgo wao huku wakiwaita barrick wanaune.

Viongozi wa ccm wanamakubaliano binafsi na barrick sio kwa manufaa ya nchi bali ya viongozi hao wakuu kabisa wa mihimili. Ndio maana wamekazana kutunga sheria ili waruhusiwe kuvunja katiba ya nchi na wasishitakiwe. Mnadhani hii inamaanisha nn? Hii ndio maana yake halisi.

Tumsaidie Tundu Lissu tuikomboe nchi hii inayoendeshwa kihuni na kilaghai na magufuli na CCM.
Ebu elewa acha kimuhe muhe kaisikilize habar ndo urudi uchangie ....sasa maneno yote hayo hata habar huijui inasemaje unamuamini mtoa maada wakat nayy Yuko chaka
 
Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,679
2,000

Endelea kupopoyoka...

Viva Magu 2020 to 2030
Viva chato...

Kuna watu mnahoji mambo ya kijinga kabisa km sio watz. What happened to escrow? Meremeta? Rada? Uuzaji wa nyumba za serikali? Where is 1.5trn? Why chato international airport? Why mayanga why dotto james?

Watapeli sio Barrick ni magufuli na CCM.

Ndio wanaohadaa watz kwa kuomgo wao huku wakiwaita barrick wanaune.

Viongozi wa ccm wanamakubaliano binafsi na barrick sio kwa manufaa ya nchi bali ya viongozi hao wakuu kabisa wa mihimili. Ndio maana wamekazana kutunga sheria ili waruhusiwe kuvunja katiba ya nchi na wasishitakiwe. Mnadhani hii inamaanisha nn? Hii ndio maana yake halisi.

Tumsaidie Tundu Lissu tuikomboe nchi hii inayoendeshwa kihuni na kilaghai na magufuli na CCM.
Click to expand...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom