Uchaguzi 2020 BBC Swahili wamesema kwenye makubaliano yetu na kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick kwenye zile asilimia ni kama tumepigwa

Nimemsikiliza Zuhura Yanus, BBC ni waongo, hakuna mkataba wala makubaliano ya 2017, mkataba ni mmoja tuu, ule uliosainiwa Ikulu 2019!.
Yale ya 2017 yalikuwa ni mapendekezo tuu.
BBC Swahili Iache Uongo!.

NB, uongo kama huu wa BBC pia uliwahi kuletwa na ZZK, baada ya kuona makubaliano yamekuwa initialed, akaandika mkataba umesainiwa.
Tulisaidia kufafanua
Japo Kazi ya Upinzani ni Kupinga, Lakini Sio Kupinga Kila Kitu, Kwenye Maslahi Ya Taifa, Tutangulize Utaifa, Tuwe Wamoja, Wakweli na Tusipotoshe.
P
Na vipi suala la hizi sheria. Hazijavunjwa?
-makinikia kuto safirlrishwa nje.
-miamala kufanywa ktk mabenki ya ndani peke yake.
-migogoro kuto pelekwa mahakama za nje.
Paskaliiiï
 
Na vipi suala la hizi sheria. Hazijavunjwa?
-makimikia kuto safirlrishwa nje.
-miamala kufantwa ktk mabenki ya ndani peke yake.
-migogoro kuto pelekwa mahakama za nje.
Paskaliiiï
Yule Mtaalamu yuko right kabisa, ila the root ya habari hiyo ni utafiti wa BBC, kusema kuna makubaliano mawili ya 2017 na 2019, is wrong, draft inapoitwa mkataba na watu kama BBC is very wrong.
P
 
Sawa jiandae kuwa DC
Nimemsikiliza Zuhura Yanus, BBC ni waongo, hakuna mkataba wala makubaliano ya 2017, mkataba ni mmoja tuu, ule uliosainiwa Ikulu 2019!.
Yale ya 2017 yalikuwa ni mapendekezo tuu.
BBC Swahili Iache Uongo!.

NB, uongo kama huu wa BBC pia uliwahi kuletwa na ZZK, baada ya kuona makubaliano yamekuwa initialed, akaandika mkataba umesainiwa.
Tulisaidia kufafanua
Japo Kazi ya Upinzani ni Kupinga, Lakini Sio Kupinga Kila Kitu, Kwenye Maslahi Ya Taifa, Tutangulize Utaifa, Tuwe Wamoja, Wakweli na Tusipotoshe.
P
 
Ukiona zee zima linakuwa liongo,jua ama ni mchawi au taahira.
Amini hivyo hivyo kuwa ni uongo...video hiyo sijaiona peke yangu...watu kadhaa wameiona na ni video ambayo siyo fake....ila Hilo la utahira hiyo ni lugha ya baadhi ya wanaChadema ambayo imezoeleka na ambao hujikita kwenye matusi na hutumia nguvu nyingi Sana katika hili...
 
Kila goti litapigwa kwa mabeberu, Hata Morales wa Bolivia alijitahidi kusimama dhidi ya hawa mwishowe alishindwa na kufurushwa.

Mikataba ya kimataifa ni migumu na inabidi kuheshimiwa na ni suala mtambuka hasa kutokana na ukosefu katika ujuzi wa kufanya kazi na uhaba wa teknolojia , bila kusahau mabenki ya Tanzania kuwa na mitaji pungufu kuweza kuhimili miamala mikubwa ktk fedha za kigeni.

Miamala mikubwa wa fedha za kigeni inaweza kuyumbisha mabenki hivyo ni moto usioweza kuhimiliwa na mabenki ya Tanzania na kuchelewesha shughuli hizi za chapchap za minada ya madini na ununuzi au ukodishaji wa zana nzito za vifaa vizito vinavyotumika ktk uchimbaji na utafutaji.
Wajumbe walikupa kura moja endelea kubwa kubwabwaja unadhani TBCCM HAO
 
BBC ni Shirika la Utangazaji la Serikali ya Uingereza linatangaza taarifa yoyote ya kweli na uhakika yenye ushahidi tosha tofauti na TBC ya Serikali pia inayotangaza uongo tupu wa Serikali na Chama. Huyu mjinga wa CCM mtafuta uteuzi anayedai anamfahamu mchambuzi wa CHADEMA aliyehojiwa na BBC kama ana ushahidi si apeleke taarifa kwa wahusika waanze kushughulika? Humu jf wengi walihoji ukweli wa majigambo ya Magufuli na uhalali wa takwimu za mgao wa manufaa ya uchimbaji wa madini.
Hahaha eti BBC hutangaza habari za ukweli mtupu...Asante...
 
Tundulisi si ana character zote za kibeberu , si bora jiwe ambaye hata kwao hataki kwenda
Watapeli sio Barrick ni magufuli na ccm....

Ndio wanaohadaa watz kwa kuomgo wao huku wakiwaita barrick wanaune....

Viongozi wa ccm wanamakubaliano binafsi na barrick sio kwa manufaa ya nchi bali ya viongozi hao wakuu kabisa wa mihimili..... Ndio maana wamekazana kutunga sheria ili waruhusiwe kuvunja katiba ya nchi na wasishitakiwe...... Mnadhani hii inamaanisha nn? Hii ndio maana yake halisi......

Tumsaidie Tundu Lissu tuikomboe nchi hii inayoendeshwa kihuni na kilaghai na magufuli na ccm
 
..kabudi mambo yalishamfika shingoni akataka kujiuzulu.

..na kwenye timu ya majadiliano walikuwepo maprofesa walioandaa ripoti zinazodai accacia/barrick wametuibia.

..ripoti za uchunguzi zilikuwa na matatizo, ndiyo maana nguvu kubwa inatumika kunyamazisha yeyote yule anayejaribu kuhoji.

Hao maprofesa amewatunza vyeo huko BOT kwa kazi ambayo haikuwa kamili kufaidisha nchi!! Na hao hao ndio washauri wanaozidi kumdanganya mpaka sasa ccm na serikali hawana credibility kwa wananchi walio wengi.
 
Tungeshtakiwa MIGA leo ningempa kura Lissu

Kumbe alikuwa anatutusha tuwaachie goli wazungu wake

Viva Magu 2020 to 2030
Watapeli sio Barrick ni magufuli na CCM.

Ndio wanaohadaa watz kwa kuomgo wao huku wakiwaita barrick wanaune.

Viongozi wa ccm wanamakubaliano binafsi na barrick sio kwa manufaa ya nchi bali ya viongozi hao wakuu kabisa wa mihimili. Ndio maana wamekazana kutunga sheria ili waruhusiwe kuvunja katiba ya nchi na wasishitakiwe. Mnadhani hii inamaanisha nn? Hii ndio maana yake halisi.

Tumsaidie Tundu Lissu tuikomboe nchi hii inayoendeshwa kihuni na kilaghai na magufuli na CCM.
 
what happened to MIGA?

Ukiona ili neno unapata makengeza?

Mliomba barrick waondoe shtaka na ccm iondoe tuhuma za kuibiwa dola billion 191 za marekani huku watoto wenu wakisomeshwa bure nje ya nchi kwa ufadhili wa mabeberu barrick! That's what happened !
 
mliomba Barrick..... uko tayari kudanganya boss?
Ndio maana watz hatutawapa nchi....

Kuwa mkweli........

Viva Magu 2020 to 2030
Mliomba barrick waondoe shtaka na ccm iondoe tuhuma za kuibiwa dola billion 191 za marekani huku watoto wenu wakisomeshwa bure nje ya nchi kwa ufadhili wa mabeberu barrick! That's what happened !
 
what happened to MIGA?

Ukiona ili neno unapata makengeza?

Viva Magu 2020 to 2030
Kuna watu mnahoji mambo ya kijinga kabisa km sio watz. What happened to escrow? Meremeta? Rada? Uuzaji wa nyumba za serikali? Where is 1.5trn? Why chato international airport? Why mayanga why dotto james?

Watapeli sio Barrick ni magufuli na CCM.

Ndio wanaohadaa watz kwa kuomgo wao huku wakiwaita barrick wanaune.

Viongozi wa ccm wanamakubaliano binafsi na barrick sio kwa manufaa ya nchi bali ya viongozi hao wakuu kabisa wa mihimili. Ndio maana wamekazana kutunga sheria ili waruhusiwe kuvunja katiba ya nchi na wasishitakiwe. Mnadhani hii inamaanisha nn? Hii ndio maana yake halisi.

Tumsaidie Tundu Lissu tuikomboe nchi hii inayoendeshwa kihuni na kilaghai na magufuli na CCM.
 
Lia na Lissu apate urais japo haiwezikanii... jililie na hali yako.
Sintakuita zwazwa wala mzukule...

Mungu ametubariki kwa kutupa Magu

Viva Magu 2020 to 2030
Kuna watu mnahoji mambo ya kijinga kabisa km sio watz. What happened to escrow? Meremeta? Rada? Uuzaji wa nyumba za serikali? Where is 1.5trn? Why chato international airport? Why mayanga why dotto james?

Watapeli sio Barrick ni magufuli na CCM.

Ndio wanaohadaa watz kwa kuomgo wao huku wakiwaita barrick wanaune.

Viongozi wa ccm wanamakubaliano binafsi na barrick sio kwa manufaa ya nchi bali ya viongozi hao wakuu kabisa wa mihimili. Ndio maana wamekazana kutunga sheria ili waruhusiwe kuvunja katiba ya nchi na wasishitakiwe. Mnadhani hii inamaanisha nn? Hii ndio maana yake halisi.

Tumsaidie Tundu Lissu tuikomboe nchi hii inayoendeshwa kihuni na kilaghai na magufuli na CCM.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom