BBC SWAHILI TAREHE 12 MAY, 2020 - Wakenya wasema Kenya imetumia mwanya wa Corona kukopa kutoka mashirika ya Dunia ya kifedha.

politics

JF-Expert Member
Mar 30, 2013
211
155
Kupitia idhaa ya kiswahili ya BBC leo Wakenya wameilalamikia Serikali yao kwa kutumia mwanya wa Corona kukopa pesa nyingi kutoka IMF. Wamesema bila Corona Kenya haikopesheki na hivyo kuendelea kuongeza mzigo wa madeni kwa vizazi vijavyo vya Kenya.

Walioshangilia kuona Kenya, Uganda kupata mikopo sasa waone hii na tujadili.

Chanzo: BBC SWAHILI leo 12 May, 2020.
 
BBC wako nyuma wa hii project hawawezi toa taarifa kama hiyo
 
Back
Top Bottom