BBC Swahili hamjali wasikilizaji wenu?

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
nawapongeza bbc swahili kwa kuboresha vipindi vyao hasa kwa wasikilizaji wa Afrika mashariki. lkn moja ya kero jinsi gani Idhaa hiyo isivyojali fedha za wasilizaji wnaoutuma ujumbe kupitia matangazo yao. kwani kila siku bbc huuomba wasilizaji wawatumie ujumbe mfupi kupitia number ya mkononi ili ujumbe wao usomwe. lkn husoma ujumbe kidogo na mchache na wengine hutupwa. jee Bbc hawajui kama sisi wasiklizaji tunatumia pesa kutuma ujumbe au kwanini bb hawapangi muda mkubwa wa kusoma msg? au waseme tu kwamba wanabagua ujumbe. au wanavyofanya ndivyo inavyotakiwa?
 
Huo ujumbe wako ukituma unapata faida gani? zaidi ya kupoteza muda na nguvu,
hata ukisomwa haufanyiwi kazi, na hao unaowaandikia ukute hata hawasomi.
 
nawapongeza bbc swahili kwa kuboresha vipindi vyao hasa kwa wasikilizaji wa Afrika mashariki. lkn moja ya kero jinsi gani Idhaa hiyo isivyojali fedha za wasilizaji wnaoutuma ujumbe kupitia matangazo yao. kwani kila siku bbc huuomba wasilizaji wawatumie ujumbe mfupi kupitia number ya mkononi ili ujumbe wao usomwe. lkn husoma ujumbe kidogo na mchache na wengine hutupwa. jee Bbc hawajui kama sisi wasiklizaji tunatumia pesa kutuma ujumbe au kwanini bb hawapangi muda mkubwa wa kusoma msg? au waseme tu kwamba wanabagua ujumbe. au wanavyofanya ndivyo inavyotakiwa?

Haya malalamiko yako ulitakiwa uyatume bbc. Maadam namba yao ya simu ya mkononi unayo, unaweza kuwatumia sms kama ambavyo huwa unatuma wakati wa matangazo au vinginevyo unaweza kuwavutia waya uwaelezee kero yako.
 
Sasa wewe unataka waache vipindi vyao vyote wasome ujumbe tu? maana hujui watu wangapi wanatuma jumbe na zitachukua muda gani kumalizwa zote.

Umetaje kuhusu maswala ya fedha, hao BBC unawalipa kiasi gani kwa matangazo yao mpaka uwaseme hivyo? Common sense inatakiwa kukuelekeza kwamba kama unaona ujumbe wako hausomwi, acha kutuma, na pengine kama unaona BBC si redio nzuri, acha kusikiliza. Kwani walisema watasoma kila ujumbe?

Ukiwa unanunua tiketi za bahati nasibu kila siku bila kushinda utalalamika pia kwa shirika la bahati nasibu kwamba halikujali kwa sababu unanunua tiketi lakini hushindi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom