BBC: Serikali ya umoja wa kitaifa siyo ya kidemokrasia

kwa dunia ya sasa ukileta udicteta na kusababisha vifo ujue The Hague inakusubiri ukakae chumba karibu na Charles Taylor, huyo Kibaki hakika nakwambia akitoka tu madarakani mchakato wa kumpeleka the The Hague unaanza, hata Mugabe analijua hilo.

Omar al bashir je? Mugabe? Mkapa (mwembechai na Pemba), Kikwete je (Loliondo, Buzwagi, etc)?
 
Back
Top Bottom