BBC: Sakata la korosho Serikali ya Tanzania yawarudishia wakulima korosho wadai hazina viwango, wengi hawajalipwa mpaka sasa

Mkuu punguza jazba kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Inauma sana kiongozi.
Yaani mtu anacheza na maisha yetu hivi hivi! Alafu wanazidi kusifu na kuabudu. Labda tu nikuulize kitu, ivi unaweza ukamtafuta mwizi wakati hakuna aliyeibiwa?. Leo hii wanafanya uhakiki ili kugundua wezi wa korosho za wakulima kwani Ulisikia siku moja mkulima analalamika kuwa ameibiwa korosho zake?? Naomba unijibu haraka iwezekanavyo

:D :D :D :D :D

Mkuu hapajawahi tokea isipokuwa kwenye sikali ya jiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wamezidi kuchanganya korosho na takataka eti kuonezavito,tuliyaaona kwenye pamba

Mali ikishauzwa hairudishwi. Lipeni hela za wanaume sio kutia gundu mali za wanaume kwa kutaka kick za kujifanya mnajali wanyonge. Tena wale waliolipwa na kuandamana kupongeza eti korosho zimenunuliwa inatakiwa nyumba zao zipigwe kiberiti iwe funzo kutokutumika kupoteza stahiki za watu.
 
Ukaguzi hufanyika muuzaji awasilishapo mazao yake. Miezi 3 mikononi mwa mnunuzi kisha kumrudishia muuzaji ni kituko. Lolote kuharibu uhalisia wa zao la muuzaji laweza fanywa NA mnunuzi.
Hakika hii si sawa na wala si haki kabisa!!
 
Mali ikishauzwa hairudishwi. Lipeni hela za wanaume sio kutia gundu mali za wanaume kwa kutaka kick za kujifanya mnajali wanyonge. Tena wale waliolipwa na kuandamana kupongeza eti korosho zimenunuliwa inatakiwa nyumba zao zipigwe kiberiti iwe funzo kutokutumika kupoteza stahiki za watu.
Wameisha zijambia wabakininazo
 
Hakuna jambo lenye mkono wa magufuli linalofanikiwa.

Magufuli amenyimwa roho ya kuongezeka na kufungiwa roho ya uharibifu mikononi mwake.

Sent using Sukhoi Su-57
 
Back
Top Bottom