BBC News: Hull set for City of Culture mass nude photograph

Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
24,878
47,725
Wazima humu ndani, natumai wote wazima, hebu angalieni hili swala wenzetu wamepatwa na nini,

Mimi kwangu limenishangaza kuona tamaduni za aina hii, tamaduni nyingine ni za kushangaza, huko mexico banah kuna watu hujitokeza kwa kujitolea ni zaidi ya watu 2000 hutoka nje na kutembea katikati ya mji wakiwa uchi na kupiga picha ya pamoja, ili kwa kweli limenishangaza sana ni nini haswa wanakiabudu mwenye ufahamu wa hili swala nimeikuta hii habari pitia chombo cha BBC NEWS,

Hull set for City of Culture mass nude photograph - Hull set for City of Culture mass nude photograph - BBC News
 
Hivi kusema serikali ya mexico inaruhusu tamaduni hizi za uzinzi, mpaka watu wanajikusanya mahala pamoja wakiwa uchiiiii wa nyama
 
Back
Top Bottom