Ifike mda na sisi waafrika tuwe wabaguzi wa rangi kwa nchi yoyote ama kwa mtu yoyote anaeonyesha anaeonyesha vitendo vya kibaguzi mda wa kulialia ushapitwa na wakati jana tu boateng ametolewa maneno ya kashfa na kiongozi wa chama cha upinzani kila siku ni sisi tuuuu, kama mbwai iwe mbwai tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.