BBC na DW ni vibaraka wa CCM?

shade

Senior Member
Oct 29, 2010
155
39
niliamka kuwasikiliza hao waheshimiwa haswa nikitaka kusikia wanasemaje juu ya CHADEMA kususia KIKWETE Bungeni. Lakini cha Ajabu DW hawakugusia kabisa. BBC sikuipata kupitia Redio washirika. Kuna nini haswa? Ni vibarAKA chaka chua matokeo (ccm)?
wana JR mnisaidie:angry:
 
BBC hawajafanya haki, maana wameipotezea kana kwamba ni kitu kiDogo May be ndivyo mwakilishi wao hapa nchini ndio kaagizwa hivyo. mi nadhani Wabunge makini wa Chadema kutoka nje ya bunge ilikuwa a great news value kuliko hata hiyo speech nya JK.
 
niliamka kuwasikiliza hao waheshimiwa haswa nikitaka kusikia wanasemaje juu ya CHADEMA kususia KIKWETE Bungeni. Lakini cha Ajabu DW hawakugusia kabisa. BBC sikuipata kupitia Redio washirika. Kuna nini haswa? Ni vibarAKA chaka chua matokeo (ccm)?
wana JR mnisaidie:angry:

Jana bbc waliongelea radio free africa kipindi kinachoanza 12 unusu jioni na waliongelea tukio kama lilivyo isipokuwa walitaka kuunganisha interview na mbowe lakini nafikiri hakupatikana hewani
 
Back
Top Bottom