#COVID19 BBC na Corona: Kenya tayari ina deni la $ 1.5 bilion za Marekani, Tanzania haina deni lolote hadi sasa

Madeni wanadaiwa na Corona haijawaacha salama bado imewakazia......
Lockdown/lockup kila kukicha, cha ajabu maambukizi yanaongezeka badala ya kupungua - hivi sasa makampuni ya magharibi yanayo zalisha chanjo hizi hawazalishi chanjo wanazalisha vile vile lame excuses lukuki: mara maambukizi yameongezeka kutokana na watu kutochanjwa, mara ooh waliochanjwa wanaweza kuambukizwa hivyo endeleni kuvaa barakoa na kufuata masharti ya kujikinga - hii wapi na wapi?

Wakati huo huo bado chanjo hizo zinaendelea kusababisha Vifo na ulemavu wa kudumu kwa baadhi ya watu waliochanjwa-matokeo haya hasi yanahibuka within a week or so baada ya kuchanjwa - swali ni, je, nini kitatokea baada ya miaka miwili/mitatu kupita au kwa generation ijayo tukiwekea maanani teknolojia ya kijinetiki inayo tumika kuzalisha chanjo hizi za magharibi, na kusema kweli chanjo hizi bado ni experimental vaccines hazichapitia kwenye michakato alisi ya kisayansi Dunia akijiridhisha kwamba chanjo hizi hazina madhara - kila mtu mwenye akili timamu anajuwa kwamba makampuni ya kuzalisha chanjo tajwa yame-cut corners wakiwa na lengo la kuziingiza sokoni highly questionable vaccines haraka haraka ili wavune pesa big time!!

Kinacho sikitisha zaidi wataalamu wetu wanajuwa vizuri kwamba masharti yanayo zingatiwa katika uzalishaji wa chanjo mpya, hatua zinazo tumika kufanyiwa majaribio kwa phase mbali mbali vyote hivyo havikuzingatiwa katika chanjo hizi za covid-19, as I said wazalishaji wali-cut corner-wanatumia jeuri ya pesa zao wanazo pewa na matajiri wakubwa Duniani kushikiza W.H.O kulazimisha mambo, wanafikia hatua ya kushauri nchini masikini eti zichukue mikopo kutoka World Bank na IMF ili wanunulie chanjo - hii inaleta picha gani??

Labda nimalizie kwa kusema kwamba ingekuwa vema sana ikiwa Taifa letu lingeleta chanjo zinazo zalishwa kwa kutumia njia ya asili, mbona mataifa yanayo zalisha chanjo hizo yanajulikana,nayo ni: Uchina, Urusi na Cuba - mataifa karibu 60 Duniani yametumia chanjo za Uchina na hakuna taifa hata moja limelalamika kwamba chanjo za Uchina au Urusi zimewasababishia walio dungwa nazo matatizo yafuatayo: vifo,stroke,blood clot,kuvimba moyo, kuvimba ubongo,kuvimba mapafu, kifafa,Neva kushindwa kupitisha impulses,wakina mama wanao nyonyesha watoto baadhi ya watoto kukumbwa na inflamation kwenye mapafu au ubongo matizo hayo yapo kwenye chanjo za magharibi - chanjo za Kichina na Urusi ni salama kabisa na wala sijawahi kuambiwa/sikia kwamba watu wanao tumia chanjo hizo huko kwao au popote Duniani wanalazimishwa kujaza form kwamba ukichanjwa litakalo tokea shauri yako - mambo hayo yapo Ulaya na Merikani kwa kuwa wazalishaji wa chanjo hizo wanajua fika kwamba zipo kwenye majaribio,consequently anything can go terribly wrong lakini wako very crafty hilo hawalisemi moja kwa moja hawataki watumiaji wahoji maswali mengi.

Wenzetu Zanzibar wamefanya jambo jema sana, wameagiza chanjo kutoka Uchina, wanajuwa chanjo hizo zilivyo salama kwa watumiaji,nampongeza sana Dr.Hussein Mwinyi na washauri wake.Ushauri wangu kwa Madam President na sisi Bara tuagize chanjo kutoka Uchina, mbona uwezo huo tunao sana, sasa tatizo liko wapi - bottom line is: tukipewa msaada wa chanjo kutoka magharibi msikatae chukuweni halafu zifungie kwenye kabati baadae mtajuwa mbinu za...
 
BBC Dira ya Dunia imefanya tathmini ya mikopo waliyopewa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki ili kukabiliana na janga la Corona ikiwemo uhifadhi na usafirishaji salama wa chanjo.

BBC imegundua kuwa Kenya na Rwanda ndio zimepewa mikopo mikubwa na nchi wahisani na hivyo kuwaongezea kwa kiasi kikubwa deni la taifa.

Kwa mujibu wa BBC hadi sasa Tanzania ndio nchi pekee isiyodaiwa mkopo wa Corona popote pale duniani.

Source: BBC Dira ya Dunia

Mungu ni mwema wakati wote!
Kwa hiyo hii inasaidia nini?
 
Zile ni propaganda,Tanzania waliomba "moratorium" kutolipa deni.Hatukuwahi kupewa hela za Corona toka IMF

Zote propaganda. Nchi zote ziliomba mikopo hii isiyokuwa na riba na yenye masharti nafuu mno.

Nani anaweza kuukataa mkopo usio na riba wa wenye kuanza kurudishwa kama ulivyopewa miaka kumi baadaye?

Wakati wenzetu walipewa walichoomba, sisi tulinyimwa.

Kujikikakamua ili kutoonekana kusikitika tuko kwenye kujitoa kimasomaso kama huyu jamaa hapa:

IMG_20210815_132454_983.jpg

Sizitaki mbichi hizi!

Hiiiiii bagosha!
 
Hii inaonyesha kutokukurupuka kwa hayati kwenye swala la Covid ameihepusha nchi na mambo mengi sana.
 
Hayati alifura kwa hasira kwa kunyimwa mkopo huu usio na riba wenye kuanza marejesho baada ya miaka 10.

Kigezo cha kunyimwa ni kujimwambafy kwake kuwa hakukuwa na Corona hapa.
 
Lockdown/lockup kila kukicha, cha ajabu maambukizi yanaongezeka badala ya kupungua - hivi sasa makampuni ya magharibi yanayo zalisha chanjo hizi hawazalishi chanjo wanazalisha vile vile lame excuses lukuki: mara maambukizi yameongezeka kutokana na watu kutochanjwa, mara ooh waliochanjwa wanaweza kuambukizwa hivyo endeleni kuvaa barakoa na kufuata masharti ya kujikinga - hii wapi na wapi?

Wakati huo huo bado chanjo hizo zinaendelea kusababisha Vifo na ulemavu wa kudumu kwa baadhi ya watu waliochanjwa-matokeo haya hasi yanahibuka within a week or so baada ya kuchanjwa - swali ni, je, nini kitatokea baada ya miaka miwili/mitatu kupita au kwa generation ijayo tukiwekea maanani teknolojia ya kijinetiki inayo tumika kuzalisha chanjo hizi za magharibi, na kusema kweli chanjo hizi bado ni experimental vaccines hazichapitia kwenye michakato alisi ya kisayansi Dunia akijiridhisha kwamba chanjo hizi hazina madhara - kila mtu mwenye akili timamu anajuwa kwamba makampuni ya kuzalisha chanjo tajwa yame-cut corners wakiwa na lengo la kuziingiza sokoni highly questionable vaccines haraka haraka ili wavune pesa big time!!

Kinacho sikitisha zaidi wataalamu wetu wanajuwa vizuri kwamba masharti yanayo zingatiwa katika uzalishaji wa chanjo mpya, hatua zinazo tumika kufanyiwa majaribio kwa phase mbali mbali vyote hivyo havikuzingatiwa katika chanjo hizi za covid-19, as I said wazalishaji wali-cut corner-wanatumia jeuri ya pesa zao wanazo pewa na matajiri wakubwa Duniani kushikiza W.H.O kulazimisha mambo, wanafikia hatua ya kushauri nchini masikini eti zichukue mikopo kutoka World Bank na IMF ili wanunulie chanjo - hii inaleta picha gani??

Labda nimalizie kwa kusema kwamba ingekuwa vema sana ikiwa Taifa letu lingeleta chanjo zinazo zalishwa kwa kutumia njia ya asili, mbona mataifa yanayo zalisha chanjo hizo yanajulikana,nayo ni: Uchina, Urusi na Cuba - mataifa karibu 60 Duniani yametumia chanjo za Uchina na hakuna taifa hata moja limelalamika kwamba chanjo za Uchina au Urusi zimewasababishia walio dungwa nazo matatizo yafuatayo: vifo,stroke,blood clot,kuvimba moyo, kuvimba ubongo,kuvimba mapafu, kifafa,Neva kushindwa kupitisha impulses,wakina mama wanao nyonyesha watoto baadhi ya watoto kukumbwa na inflamation kwenye mapafu au ubongo matizo hayo yapo kwenye chanjo za magharibi - chanjo za Kichina na Urusi ni salama kabisa na wala sijawahi kuambiwa/sikia kwamba watu wanao tumia chanjo hizo huko kwao au popote Duniani wanalazimishwa kujaza form kwamba ukichanjwa litakalo tokea shauri yako - mambo hayo yapo Ulaya na Merikani kwa kuwa wazalishaji wa chanjo hizo wanajua fika kwamba zipo kwenye majaribio,consequently anything can go terribly wrong lakini wako very crafty hilo hawalisemi moja kwa moja hawataki watumiaji wahoji maswali mengi.

Wenzetu Zanzibar wamefanya jambo jema sana, wameagiza chanjo kutoka Uchina, wanajuwa chanjo hizo zilivyo salama kwa watumiaji,nampongeza sana Dr.Hussein Mwinyi na washauri wake.Ushauri wangu kwa Madam President na sisi Bara tuagize chanjo kutoka Uchina, mbona uwezo huo tunao sana, sasa tatizo liko wapi - bottom line is: tukipewa msaada wa chanjo kutoka magharibi msikatae chukuweni halafu zifungie kwenye kabati baadae mtajuwa mbinu za...
Wewe ni fala
 
BBC Dira ya Dunia imefanya tathmini ya mikopo waliyopewa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki ili kukabiliana na janga la Corona ikiwemo uhifadhi na usafirishaji salama wa chanjo.

BBC imegundua kuwa Kenya na Rwanda ndio zimepewa mikopo mikubwa na nchi wahisani na hivyo kuwaongezea kwa kiasi kikubwa deni la taifa.

Kwa mujibu wa BBC hadi sasa Tanzania ndio nchi pekee isiyodaiwa mkopo wa Corona popote pale duniani.

Source: BBC Dira ya Dunia

Mungu ni mwema wakati wote!

😂😂😂!

Tanzania ni nchi pekee isiyodaiwa mkopo usio na riba uliotolewa kwa ajili kupunguza makali ya kiuchumi kwenye Corona ila sasa:

Tanzania yakopa Benki ya Dunia tsh 2.7 trilioni kwa ajili ya Elimu, Barabara na Mawasiliano!

kuanzia leo inadaiwa $1bn+ zenye riba na masharti magumu.

Bila aibu kwa mara nyingine:

IMG_20210820_061852_470.jpg

wale wale wanarukaruka na kukanyagana wakishindana kusifu kwa sauti kubwa zaidi kuwa hatimaye tumepata mkopo.

Hiiiiii bagosha!
 
BBC Dira ya Dunia imefanya tathmini ya mikopo waliyopewa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki ili kukabiliana na janga la Corona ikiwemo uhifadhi na usafirishaji salama wa chanjo.

BBC imegundua kuwa Kenya na Rwanda ndio zimepewa mikopo mikubwa na nchi wahisani na hivyo kuwaongezea kwa kiasi kikubwa deni la taifa.

Kwa mujibu wa BBC hadi sasa Tanzania ndio nchi pekee isiyodaiwa mkopo wa Corona popote pale duniani.

Source: BBC Dira ya Dunia

Mungu ni mwema wakati wote!

Zile chereko chereko:

"Kwa mujibu wa BBC hadi sasa Tanzania ndio nchi pekee isiyodaiwa mkopo wa Corona popote pale duniani."

zingalipo au zilikuwa ni yale mambo yetu tu:

IMG_20210815_132454_983.jpg

Hiiiiii bagosha!
 
Back
Top Bottom