BBC; Kipindi cha Haba na Haba kwa faida ya nani?


Jacobus

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Messages
3,838
Likes
467
Points
180
Jacobus

Jacobus

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2011
3,838 467 180
Imekuwa muda sasa Shirika la Habari la Uingereza idhaa ya kiswahili imekuwa na kipindi kila jumamosi kiitwacho Haba na Haba na kurejewa siku ya jumapili, isitoche RFA hukirejea baadhi ya siku. Mada zake nimejaribu kufikiria kama hazina MSHIKO wowote kwetu, walianzia kwenye upatikanaji wa maji (nadhani vijijini) matokeo yake sijayaona. Sasa wamekamatia bango unywaji wa pombe mchana wakati wa kazi, mie nawauliza huko kwao England wanautaratibu gani wa unywaji pombe? Siku ina saa 24 na wakati wote ni wa kazi kwa maana ya kuwa pana watu wanafanya kazi kwa shifti tatu saa 8 kila mmoja au mbili kwa saa 12 kila mmoja.
Huku ni kujitafutia sifa tu kuwa BBC ni bora zaidi hata kwa kuingilia uhuru wa mtu kujiamulia la kufanya!!!!!!!
 

Forum statistics

Threads 1,250,719
Members 481,468
Posts 29,743,134