Elections 2010 BBC hawakujua kama Bob Mugabe naye alikuwepo

The Dreamer

JF-Expert Member
Feb 2, 2009
1,282
20
Nimetembelea website ya BBC kutaka kujua umaarufu wa Tanzania kwenye matukio ya kimataifa. Nimeshangaa hakuna taarifa hiyo. Lakini endapo watajua Robert Mugabe alikuwepo nina uhakika watatafuta namna ili iwe news kubwa kutoka Africa!

http://www.bbc.co.uk/

My take:

Tanzania si nchi maarufu duniani ukiachia mbali kujulikana zaidi kwa kuomba vyandurua
 
Mabingwa wa uchakachuaji dunia itajufunza nini kwetu.
Naona baada ya JK anafuata Mugabe kuondoka uwanja wa taifa apa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom