The Dreamer
JF-Expert Member
- Feb 2, 2009
- 1,282
- 21
Nimetembelea website ya BBC kutaka kujua umaarufu wa Tanzania kwenye matukio ya kimataifa. Nimeshangaa hakuna taarifa hiyo. Lakini endapo watajua Robert Mugabe alikuwepo nina uhakika watatafuta namna ili iwe news kubwa kutoka Africa!
http://www.bbc.co.uk/
My take:
Tanzania si nchi maarufu duniani ukiachia mbali kujulikana zaidi kwa kuomba vyandurua
http://www.bbc.co.uk/
My take:
Tanzania si nchi maarufu duniani ukiachia mbali kujulikana zaidi kwa kuomba vyandurua