Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,020
Aisee kumbe likes za mabeberu zilikua nyingi eh?Hamna kitu chief, tz tumejaliwa kuwa na vitu kibao vya kuvipa millage acahana na siasa! Nikupe mfano
BBC world wali tangaza habari ya tukio la jamii ya wamasai walifanya mkutano mkubwa sanaaa ambao unawakutanisha wa masai wa kenya na Tz ile habar ktk page ya BBC ili pata likes nyingi sana wazungu wengi wali comment kuhusu jamii ya maasai, tena ni hivi majuzi tu mwezi Sept.
Sasa swali ni je, hivi wanahabari wetu vitu kama hiv wao hawa vioni?
Ukwelini kwamba wana habari wengi wa tz ni siasa tu wao