BBC: Dr. Ulimboka yuko ICU (yuko kwenye koma) anasaidiwa na mashine

sasa media zinatuchanganya. maana PJ wa clouz alikuwa anasoma kwenye gazeti moja kuwa nao wamegundua kuwa Dr Uli hayuko sauzi bali yuko ujerumani, eti kule sauz ndege ilipita tu kisha ikaelekea ujerumani. sasa huyu mhariri wa gazeti hili na hao BBC nani anaongea ukweli? Kama toka afike huko kwa mujibu wa BBC anapumulia mashine basi itakuwa kama nyerere maana nae ilikuwa ivo ivo. Please media tunaomba msitumix mix kwenye isue sensitive kama hii inayohusu maisha ya mtu.
 
Eee MOla walaze Pema peponi wote walotutoka kwa sababu ya Mgomo huu uloongozwa na Dr.Ulimboka!
 
sasa media zinatuchanganya. maana PJ wa clouz alikuwa anasoma kwenye gazeti moja kuwa nao wamegundua kuwa Dr Uli hayuko sauzi bali yuko ujerumani, eti kule sauz ndege ilipita tu kisha ikaelekea ujerumani. sasa huyu mhariri wa gazeti hili na hao BBC nani anaongea ukweli? Kama toka afike huko kwa mujibu wa BBC anapumulia mashine basi itakuwa kama nyerere maana nae ilikuwa ivo ivo. Please media tunaomba msitumix mix kwenye isue sensitive kama hii inayohusu maisha ya mtu.

Mkuu PJ wa clouds yeye alisoma habari zilizoko kwenye gazeti la mwananchi, ila bbc wao wamefuatilizia mpaka hospital alikolazwa, reliability ya habari za mwananchi hazina nguvu km za bbc walivyo
 
Mi nimemsikia huyo ali mtasa,amesema dr yuko on koma na hapohapo akasema hakupata ushirikiano toka kwa ndugu wala mapokezi na wala hakufanikiwa kumuona ulimboka ,nikajiuliza huo uzushi aliupata wapi?
 
Tunakukuomba ehee Mungu baba, umuepushe na umauti unaomnyemelea ndg yetu Dr Ulimboka,ili apate afya njema,aweze kumudu vyema majukumu yake ya kifamilia na taifa kwa ujumla.EHEE MUNGU BABA TWAKUOMBA (kiitikio) twakuomba utusikie.
 
Ni lidhani ni India?? lakini hakuna sehemu hatari hapa africa kama huko...wrong move
 
Watu kwa uzushi?Alafu mr LIWALO NA LIWE anapenda kukwepa tena kwa kejeli akiulizwaga hayo maswali ya ulimboka
 
Mungu baba muweza wa yote tunakuomba umjalie kijana wako apate afuane. Nikiomba na kuamini Amen
 
Huyo kova si mbwa kama wengine hana tofauti na janjaweed awamjui vizuri kazi kudili na majambazi wa mamaillion..kama amuamini nendeni central
 
Ina maana hadi sasa hakuna suspect yeyote aliyekamatwa

Thubutu! Nani kakwambia ni rahisi kujikamata? Mulize Kova kama yuko tayari kuruhusu uchunguzi wa kuwachunguzwa. Ndiyo raha ya kushika mpini wakati wenzio wameshika makali.
 
Ghafla nimemkumbuka Bouazizi aliyejichoma moto na kufa akipinga uonevu, na hapo yakaanza maandamano ya wananchi kwa nia moja tu ya kuung'a utawala wa Tunisia. Wananchi wakamng'oa Rais Ben Ali na utawala wake.
Ulimboka=Bouazizi...
 
Tuna andaa utaratibu wa kuizika CCM,hivi huyu JK hajui kina Karume walikufaje mawazo yake anajua ataishi milele.
 
Back
Top Bottom