Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,458
huyu hata aishie tu huko india arudishwe hapa tumzike kama tunavyowazika wengine wanaokufa kwa mgomo wake....hana maana kabisa ulimboka...na sidhani kama katika maisha yake atakuja afanye kitendo cha kipumbav kama icho....kule kutolewa bikra ya 0713, kungófolewa kucha na meno laivu na kichapo kile ni fundisho kwake, kama hakuwahi kufunzwa na mamaye basi ulimwengu umemfunza....tunaongea hivi lakini kuna watu tumepoteza ndugu zetu kwasababu ya mgomo huu huu, sasa na yeye si aende tu akawaunge mkono ndugu zetu ambao wameshatangulia kwa kafara ya mgogoro kati ya serikali na hawa walevi madoctor? kwani kama madoctor wanagombana victim si ndugu zetu.....wenyewe wanawatoa kafara ndugu zetu ili serikali iwape wanachotaka, hawana tofauti na watoa kafara wowote wale duniani.....hata akifa huyu mimi nitaona kawaida tu, wala sitotoa hata tone la chozi.