Leah Mushemba
Member
- Aug 29, 2017
- 39
- 14
Wakuu kati ya BBA (Bachelor in Business Administration) MWENGE UNIVERSITY na Bachelor of science in taxation IFM ipi ni sawa, bora na marketable kwa usawa huu.
Shukrani mkuuNgoja waje mkuu.
But nenda IFMShukrani mkuu
AsanteChukua sarafu ya shillingi 200 au 100.
Weka kichwa kuwa chuo kimojawapo na mkia kuwa chuo kingine.
Nuia kuwa upande wa sarafu utakaotazama juu ndio chuo utakachokwenda kama ulivyoainisha.
Rusha sarafu hiyo kwa kuizungusha hewani. Inapokuwa hewani, kuna upande mmoja utakaoukuwa unatamani sarafu idondokee. Nenda chuo kinachowakilishwa na upande huo.
Chagua kile unachokitamani.
Asante sanaKozi nzuri kati ya hizo ni BBA but khs chuo IFM ni bora zaid, karibu IFM
Asante sanaTAX achana nayo hiyo nenda BBA MDOGO ANGU LEAH
AsanteYa tax nzuri ila kupata ajira ni ishu, BBA hata usipopata ajira utajiajiri
Na sie third yia chuo cha kodi au ITA ndio tujiandae ksaikologia kupgwa benchi kitaaYa tax nzuri ila kupata ajira ni ishu, BBA hata usipopata ajira utajiajiri
Karibu Mwenge Catholic University (MWECAU)Wakuu kati ya BBA(Bachelor in business administration)MWENGE UNIVERSITY na Bachelor of science in taxation IFM ipi ni sawa, bora na marketable kwa usawa huu
Mie nimesoma hapo diplomaNa sie third yia chuo cha kodi au ITA ndio tujiandae ksaikologia kupgwa benchi kitaa
Asante sana mkuu kesho najaKaribu Mwenge Catholic University (MWECAU)
BBAM Iko vizuri njoo fasta usajili mwisho Nov14