BBA in accounting with education anaajiriwa kama mwalimu?

aminimganga

Member
Nov 4, 2017
21
14
Samahani naomba kuuliza kwa anaejua je mtu anaesoma course tajwa hapo juu anaweza kuajiriwa na serikali kama mwalimu kama mwalimu mwingine na je fursa zingine za ajira kwenye course hiyo ni zipi
 
Apply private schools ukafundishe Accounts form 3 make walimu wa Maths hawaijui hiyo topic, so unalipwa kwa vipindi.
Ila kama umesoma CBE unaweza ajiliwa hata kwenye supermarkets ila sahau serikalini
 
Apply private schools ukafundishe Accounts form 3 make walimu wa Maths hawaijui hiyo topic, so unalipwa kwa vipindi.
Ila kama umesoma CBE unaweza ajiliwa hata kwenye supermarkets ila sahau serikalini
Mkuu vipi kuhusu hii"Bachelor of art in economics and statistics" kwa upande wa ajira serikalin au hata private....vile vile kwa upande wa kujisajili ipo vipi hiyo??????????????????????msaada
 
Back
Top Bottom