Baypot Tanzania na hujuma dhidi ya walimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baypot Tanzania na hujuma dhidi ya walimu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nyangasese, Aug 2, 2012.

 1. n

  nyangasese Senior Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa hakika inaonekana kuwa walimu ndio watu wa kupuuzwa,kunyanyaswa na kuonewa ktk nchi hii.Kwa siku za karibuni ktk jiji la Mwanza kampuni ya Bayport ambayo inasemekana kuwa mmiliki wake ni mke raisi mstaafu wa JMT awamu ya tatu.Wafanyakazl wa kampuni hii kwa kushirikiana na mtandao wa kimataifa wa matapeli.wamezua taharuki kubwa kwa walimu baada ya kundi kubwa la walimu kwa mkupuo kujikuta mishahara yao haipo.Baada ya kufuatilia ikaonekana kuwa pesa zao zimekatwa na kampuni ya Bayport bila wao kuchukua mkopo wowote ktk kampuni hiyo.

  Baada ya kufuatilia ikagundulika kuwa wafanyakazi wa kampuni wanahuslka na njama hizo kwani mmoja wa mtandao wa matapeli hao ambaye anashikiliwa na polisi,imegundulika kuwa ana mawasiliano ya karibu na watu wa kampuni.siku za nyuma suala la utata wa kampuni hii liliwahi kujadiliwa bungeni na kutiliwa mashaka juu ya uadilifu wake.cha kushangaza inakuwaje kampuni hii kuwa na mtandao mkubwa mpaka hazina.Tunaomba kampuni hii imulikwe kwani kwani kitendo cha kumfikisha mahakamani meneja wa mwanza si suluhisho la kudumu
   
 2. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Matapeli hao wa Baypot wamewaliza walimu wa Tandahimba walifanyiwa unyama huohuo!
   
 3. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Acha hiyo! Unakopeshwa milioni moja unarudisha milioni nne. Mh.Zambi alipoliibua son of peasant akalizima kisanii.Akaja Zitto akaliibua likazimwa pia! Kifupi walimu hawana mtetezi katika mishahara yao.
   
Loading...