Bayern münich v/s real madrid

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
3,811
1,603
Semi final za UEFA - Nani ataibuka mshindi hapa.
Mimi ninabaki na R. Madrid ingawaje hawa ni maadui wa jadi, lolote linaweza kutokea.
Na pia tusisahau kuwa Real haina hisoria kubwa ya kuwashinda Bayern katika ardhi yao.
 
Wanalia hivi sasa madrid wamepigwa 1 tayari game kali sana
 
Madrid wamesawazisha,mfungaji ni Mesut Ozil,matokeo mpaka sasa dk 57 ni 1 - 1.
 
Back
Top Bottom