Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Habari wadau kuna ndugu yangu ana Bawasiri anahitaji kujua gharama za Operesheni yake madawa ya akiasiri kaulizia 80,000.

Upasuaji Hospiata beigani.
 
Usiamishe uzi.

Neno la ki terminology la bawasiri kwa maana hat silielewi hilo nitakusaidiaje sasa
 
Habari wadau kuna ndugu yangu ana Bawasiri anahitaji kujua gharama za Operesheni yake madawa ya akiasiri kaulizia 80,000.

Upasuaji Hospiata beigani.
Usifikie kwenda hospital, mimi nimepona hata mwezi haujaisha , nilienda hospital nikapewa yale madawa ya kuinsert, yakanishinda jinsi ya kuyaweka,

nikampigia mama yangu na kumueleza ugonjwa nilio nao,eeh nikashangaaa alivyonijibu simpo tu, nunua glyceline paka, ile yenya maleb lebo ya blue, nikaanza kupaka asubuhi na jioni, bawasili ikasinyaaa na ikaisha.ila ugonjwa huu una tabu jamani, kasheshe maumivu ni makali mnno, kuelezea daktarin nayo ni shida kama ndo unakutoketea kwa mara ya kwanza, yaani utapata stress mpka basi.
 
Uliugua Kwa muda gani.
 
KUNA DAWA FULANI YA MITI SHAMBA ALINIPA MAMA FULANI ILIWAHI KUSAIDIA WATU WANGU WA JIRANINA HATA SASA SIJAWASIKIA TENA WAKILALAMIKA,MAJANI YAKE UNAKANDIA SEHEMU HUSIKA NA MIZIZI MAJI YAKE UNAKUNYWA...KAMA NI MAUMIVU MAKALI NDANI YA APPROXIMATELY SIKU TATU UNAPATA MAJIBU....NIPIGIE NIKUSAIDIE NA WEWE UJARIBU,HAYANA MASHERTI NA WALA SIO YA RAMLI
0755780631,0620448976
NAPATIKANA NJOMBE
 
Habari wadau kuna ndugu yangu ana Bawasiri anahitaji kujua gharama za Operesheni yake madawa ya akiasiri kaulizia 80,000.

Upasuaji Hospiata beigani.
Anatakiwa atibu kwa Tiba lishe coz baada ya operation wengi hili tatizo hurudi tena huku likiwa na hali mbaya zaidi kuliko ya mwanzo na hii ni kutokana na matibabu ya operation kutotibu chanzo kuna tiba lishe ambayo imewaondolea watu wangi sana tatizo hili
 
Ni tiba lishe gani iyo mkuu
 
Anatakiwa atibu kwa Tiba lishe coz baada ya operation wengi hili tatizo hurudi tena huku likiwa na hali mbaya zaidi kuliko ya mwanzo na hii ni kutokana na matibabu ya operation kutotibu chanzo kuna tiba lishe ambayo imewaondolea watu wangi sana tatizo hili
njoo DM , kuhusu tiba lishe
 
Wakuu, Bi mkubwa wangu anasumbuliwa sana hili tatizo, ashatumia sana hizi dawa za akina dokta mwaka..lakini hamna nafuu kabisa.sasa kama kuna mtu ashawahi kupona kwa njia nyingine tofauti tofauti msaada wenu wakuu..nipo tayari kupokea maoni yenu..tumekwama

1.ni hatari kiasi mpaka anajisaidia damu.
Tunahitaji maoni yenu wadau
 
Akontroo uzito.

Anywe maji mengi mara kwa mara

Ale matunda kama maembe, papai..

Atumie Ndizi za kupikwa

Aepuke Nafaka kama Ulezi, mtama

Atumie mboga mboga, Nyama

Asikae na haja kubwa muda mrefu.

Bawasari izo hata kama ukiziondoa kwa upasuaji, ukishindwa kubadili maisha yako hususan Ulaji, Zinarudi kama kawaida .

Hazina dawa za kuponyesha tatizo.

Kubwa ni kubadili mfumo wa maisha ,zitapotea na hazirudi, ila akirudi kulekule aiseee nazo zinarudi.

Kwasasa atumie dawa za maumivu pia aendelee kutumia maji ya uvuguuvugu kujikanda njia ya haja kubwa .

#bawasiri zisikie tu, maumivu yake sio ya nchi hii!!
 
Nashukuru mkuu...vipi kama ipo ndani yaan kwenye utumbo
 
Back
Top Bottom