Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

kama unavyojua ugonjwa huu unachangiwa na pressure kwenye ****** hasa unapotumia nguvu nyingi wakati wa kujisaidia,tumia vyakula hivyi kupunguzia tatizo,vyakula vya majimaji,matunda kwa wingi,mboga za majani kwa wingi,pia kunywa maji mengi.<BR>&nbsp;pia tumia sitz bath weka kwenye maji ya vuguvugu kalia dawa hiyo kwa dakika 10, tumia mara tatu kwa siku hakikisha ****** umezama kwenye maji yenye dawa,kuvifunga vinyama vinavyotokeza kwa nyuzi kuzuia zisipata damu mpaka vinakauka na kukatika hufanyika hospital,kama njia zote zikishindikana upasuaji hufanyika kutoa nyama hizo.
 
jaman mi nasumbuliwa na taatizo la kutoka vinyama kny mk.. Wakati wa kujisaidia.. Alaafu baada ya hapo vinarudi ndan.. Huu ugonjwa kitaalam unaitwa internal hemmoroids.. Toka nimeanzaa kuugua ni mwez wa 6 sasa.. dawa za hosipitali {anusol} nimetumia lakini ugonjwa unapungua tu kidogo na kurudi tena.. Ni dawa gani nitumie jaman???? Maana nimeckiia huu ugonjwa ukikaa nao sana bdae unapata kansa.. Msaada please!!!!!? Natanguliza shukrani

Hilo tatizo linasababishwa na Constipation ( Kupata choo kigumu), Choo kigumu kinasababisha michubuko mara kwa mara kwenye njia ya haja kubwa, michubuko ya mara kwa mara inasabisha infection kwenye njia ya haja kubwa baadae inaleta viuvimbe kitaalamu wanaita HEMMOROIDS.

Ndugu yangu Hemmoroid inatioba za awali hospitali, wanaweza wakakupa vidonge na dawa za kukalia kwenye maji au kupaka. Ikishindikana hiyo wanakufayia upasuaji mdogo ili kuondoa hivyo viuvimbe.

Hata hivyo viuvimbe hivyo vinaweza kujirudia tena kama hutatibu tatizo la kupata choo kigumu. Ushauri wangu penda kunywa maji mengi sana kila siku, kula matunda, kula mboga mboga na vyakula vyenye kamba kamba.

Ushauri wangu mwingine penda kutumia asali wa nyuki wadogo, tumia asubuhi kabla ya kula na usiku baada ya kula.

TIBA MBADALA

Kuna taasisi moja inaitwa GNLD INTERNATIONAL, ofisi zao zipo Mwenge. Wana Lishe za kutibu hemmoroids na Constipation. Bei zao ni ghali kidogo ila wenyeji wanasema zinasaidia sana. Nakushuri ujaribu lishe zao kwanza. Kununua Products zao lazima uwe member ila kama sio member, unaweza kuwa member au kununua kwa kupitia member wao yoyote.

Faida ya kuwa member ni kwamba unapewa punguzo la asilimia fulani ukitaka kununua product zao

Jaribu mkuu

NAWASILISHA
 
Duh pole sana Wambuzi, nataraji wana jamvi wamekusaidia ushauri kwa kiwango flani. Nakuombea upate tiba na kupona mapema
 
Ntaenda wacheki mzeee.... Hii kitu ni muhimu kwangu aisee
 
kama unavyojua ugonjwa huu unachangiwa na pressure kwenye ****** hasa unapotumia nguvu nyingi wakati wa kujisaidia,tumia vyakula hivyi kupunguzia tatizo,vyakula vya majimaji,matunda kwa wingi,mboga za majani kwa wingi,pia kunywa maji mengi.<BR>&nbsp;pia tumia sitz bath weka kwenye maji ya vuguvugu kalia dawa hiyo kwa dakika 10, tumia mara tatu kwa siku hakikisha ****** umezama kwenye maji yenye dawa,kuvifunga vinyama vinavyotokeza kwa nyuzi kuzuia zisipata damu mpaka vinakauka na kukatika hufanyika hospital,kama njia zote zikishindikana upasuaji hufanyika kutoa nyama hizo.

Sitz bath... Nkienda kuuliza hivo duka la madawa ntapata????? Au niulizie vp kny duka la mdawa????
 
jaman mi nasumbuliwa na taatizo la kutoka vinyama kny mk.. Wakati wa kujisaidia.. Alaafu baada ya hapo vinarudi ndan.. Huu ugonjwa kitaalam unaitwa internal hemmoroids.. Toka nimeanzaa kuugua ni mwez wa 6 sasa.. dawa za hosipitali {anusol} nimetumia lakini ugonjwa unapungua tu kidogo na kurudi tena.. Ni dawa gani nitumie jaman???? Maana nimeckiia huu ugonjwa ukikaa nao sana bdae unapata kansa.. Msaada please!!!!!? Natanguliza shukrani

pole sana ndugu, nakushauri usile vyakula vyenye pilipili vyakula vichachu au vyenye Acid hata soda c nzuri kwa tatizo ulilonalo. Ungekuwa Moshi ningekushauri uende kwenye duka linalouza dawa za miti shamba linaitwa MOMBASA STORE, hapo ungepata dawa inayoitwa PILES GO. Itamaliza tatizo lako.
 
jaman mi nasumbuliwa na taatizo la kutoka vinyama kny mk.. Wakati wa kujisaidia.. Alaafu baada ya hapo vinarudi ndan.. Huu ugonjwa kitaalam unaitwa internal hemmoroids.. Toka nimeanzaa kuugua ni mwez wa 6 sasa.. dawa za hosipitali {anusol} nimetumia lakini ugonjwa unapungua tu kidogo na kurudi tena.. Ni dawa gani nitumie jaman???? Maana nimeckiia huu ugonjwa ukikaa nao sana bdae unapata kansa.. Msaada please!!!!!? Natanguliza shukrani
Huwezi kupata kansa wewe umepata huu ugonjwa kwa sababu hupati choo laini una matatizo kutopata haja kubwa vizuri kwa lugha ya kitaalam waniita (Costipation) ndio mana ukienda kwenye haja kubwa huwa unajibinya sana kiasi cha hiyo internal hemmoroids inatoka ndani naukimaliza inarudi tena ndani. Kama picha inavyojieleza.

External hemorrhoids
Schematic demonstrating the anatomy of hemorrhoids
Sababu kubwa ya maradhi yako ni hayo kutopata haja kubwa kwa njia ya Urahisi.

UKOSEFU wa choo ni tatizo sugu miongoni mwa watu wengi. Bila kujua kuwa ni tatizo ambalo linahitaji tiba ya haraka, watu wengi hupuuzia na kuona siyo tatizo kubwa na ni hali ya kawaida. Ukosefu wa choo wa muda mrefu, huwa ndiyo chanzo cha magonjwa mengine hatari. ( hemmoroids) (Maradhi ya kichwa na ugonjwa wa moyo).Na Maradhi mengi tu

Mtu anapokosa choo kikubwa kwa siku kadhaa, uchafu hujikusanya tumboni na unapokosa sehemu ya kutokea hukimbilia kwenye damu na kuingia kwenye mfumo mzima wa damu. Uchafu huo unapoingia kwenye mfumo wa damu huwa sumu na chanzo cha maradhi mengine ambayo hujitokeza baadae na kuanza kumuathiri mtu, bila kujua chanzo chake.

Kwa kawaida mtu unapaswa kupata choo cha uhakika japo mara moja kwa siku, kutegemeana na mlo wake wa kila siku, unapokosa choo kwa siku nzima ili hali una kula milo yote kwa siku, elewa una tatizo katika mfumo wako wa kusaga chakula hivyo unapaswa kuchukua hatua haraka.

MTU MWENYE TATIZO HILI ANA DALILI GANI?
Mtu mwenye tatizo la ukosefu wa choo huwa na dalili kadhaa, ikiwemo kutumia nguvu na muda mwingi wakati wa kujisadia haja kubwa. Pili ulimi wake huwa na utandu mweupe na hutoa harufu mbaya mdomoni. Mtu huyu pia hukosa hamu ya chakula na wakati wote tumbo huwa limejaa.

NINI HUSABABISHA TATIZO?
Tatizo la ukosefu wa choo husababishwa zaidi na ulaji mbaya wa vyakula, kuacha kula matunda na mboga na staili mbaya ya maisha ikiwa ni pamoja na kutokunywa maji ya kutosha kwa siku.

NINI KIFANYIKE?
Ili kuondoa tatizo kabla halijawa sugu, fanya moja miongoni mwa haya yafuatayo: Kunywa maji ya uvuguvugu asubuhi mapema, kisha tembea tembea, baada ya muda utasikia haja ya kwenda chooni. Ili usifanye haraka na upate muda wa kutosha kujiandaa kwenda kazini, amka mapema zaidi. Kula kiasi cha kutosha cha salad ya mboga mboga na juisi ya matunda halisi asubuhi kabla ya kula chochote.

Kila siku kabla ya kwenda kulala, kunywa maji ya uvugu yaliyochanganywa na kijiko kimoja cha asali. Kunywa maji ya uvugu yaliyochanganywa na limau asubuhi na mapema kabla hujala kitu chochote.
Kunywa

castor Oil'
muda mfupi kabla ya kwenda kulala. Ili kujiepusha kabisa na tatizo la ukosefu wa choo, jenga mazoea ya kunywa maji mengi, kula mboga za majani na matunda kwa wingi kila sikuna kuacha kabisa ulaji wa vyakula vilivyoondolewa virutubisho kama vile mikate myeupe, ugali wa unga mweupe, keki vyakula vyenye sukari nyingi na vyakula vingine vitamu.

Fanya hivi nakupa Treament ya kwanza

Chukua glasi moja ya maziwa freshi baridi uchanganye na vijiko viwili vikubwa vya asali na kijiko kimoja kidogo cha mafuta ya habat-
Soda kwa kiingereza inaitwa (Nigella Seed oil). Kunywa glasi moja kutwa mara mbili asubuhi na jioni. Dawa hii hufanya choo kuwa laini na kupata haja kubwa kwa wepesi.

Kanuni ya pili: Unga wa Sanamaki kijiko kimoja kikubwa, Unga wa Tangawizi kijiko kimoja kikubwa, Unga wa habat Soda Dawa hii kwa kiingereza inaitwa (Nigella sativa seed)kijiko kimoja kikubwa, na Asali robo lita. Dawa hizi zote zichanganye pamoja kwa kukoroga kwa kijiko. Kula kijiko kimoja kutwa mara tatu. Kanuni

Ya Tatu: Asali robo lita, na Unga wa Arki susi vijiko vinne vikubwa. Kula vijiko viwili vikubwa kutwa mara mbili. Kanuni ya nne: Kunywa kwa wingi maji ya kunywa ya kutosha na pia ule kwa wingi matunda na mboga.

Tumia kisha unipe Feedback mimi source: P.hD MziziMkavu
 
Huwezi kupata kansa wewe umepata huu ugonjwa kwa sababu hupati choo laini una matatizo kutopata haja kubwa vizuri kwa lugha ya kitaalam waniita (Costipation) ndio mana ukienda kwenye haja kubwa huwa unajibinya sana kiasi cha hiyo internal hemmoroids inatoka ndani naukimaliza inarudi tena ndani. Kama picha inavyojieleza.

External hemorrhoids
Schematic demonstrating the anatomy of hemorrhoids
Sababu kubwa ya maradhi yako ni hayo kutopata haja kubwa kwa njia ya Urahisi.

UKOSEFU wa choo ni tatizo sugu miongoni mwa watu wengi. Bila kujua kuwa ni tatizo ambalo linahitaji tiba ya haraka, watu wengi hupuuzia na kuona siyo tatizo kubwa na ni hali ya kawaida. Ukosefu wa choo wa muda mrefu, huwa ndiyo chanzo cha magonjwa mengine hatari. ( hemmoroids) (Maradhi ya kichwa na ugonjwa wa moyo).Na Maradhi mengi tu

Mtu anapokosa choo kikubwa kwa siku kadhaa, uchafu hujikusanya tumboni na unapokosa sehemu ya kutokea hukimbilia kwenye damu na kuingia kwenye mfumo mzima wa damu. Uchafu huo unapoingia kwenye mfumo wa damu huwa sumu na chanzo cha maradhi mengine ambayo hujitokeza baadae na kuanza kumuathiri mtu, bila kujua chanzo chake.

Kwa kawaida mtu unapaswa kupata choo cha uhakika japo mara moja kwa siku, kutegemeana na mlo wake wa kila siku, unapokosa choo kwa siku nzima ili hali una kula milo yote kwa siku, elewa una tatizo katika mfumo wako wa kusaga chakula hivyo unapaswa kuchukua hatua haraka.

MTU MWENYE TATIZO HILI ANA DALILI GANI?
Mtu mwenye tatizo la ukosefu wa choo huwa na dalili kadhaa, ikiwemo kutumia nguvu na muda mwingi wakati wa kujisadia haja kubwa. Pili ulimi wake huwa na utandu mweupe na hutoa harufu mbaya mdomoni. Mtu huyu pia hukosa hamu ya chakula na wakati wote tumbo huwa limejaa.

NINI HUSABABISHA TATIZO?
Tatizo la ukosefu wa choo husababishwa zaidi na ulaji mbaya wa vyakula, kuacha kula matunda na mboga na staili mbaya ya maisha ikiwa ni pamoja na kutokunywa maji ya kutosha kwa siku.

NINI KIFANYIKE?
Ili kuondoa tatizo kabla halijawa sugu, fanya moja miongoni mwa haya yafuatayo: Kunywa maji ya uvuguvugu asubuhi mapema, kisha tembea tembea, baada ya muda utasikia haja ya kwenda chooni. Ili usifanye haraka na upate muda wa kutosha kujiandaa kwenda kazini, amka mapema zaidi. Kula kiasi cha kutosha cha salad ya mboga mboga na juisi ya matunda halisi asubuhi kabla ya kula chochote.

Kila siku kabla ya kwenda kulala, kunywa maji ya uvugu yaliyochanganywa na kijiko kimoja cha asali. Kunywa maji ya uvugu yaliyochanganywa na limau asubuhi na mapema kabla hujala kitu chochote.
Kunywa ‘castor Oil’ muda mfupi kabla ya kwenda kulala. Ili kujiepusha kabisa na tatizo la ukosefu wa choo, jenga mazoea ya kunywa maji mengi, kula mboga za majani na matunda kwa wingi kila sikuna kuacha kabisa ulaji wa vyakula vilivyoondolewa virutubisho kama vile mikate myeupe, ugali wa unga mweupe, keki vyakula vyenye sukari nyingi na vyakula vingine vitamu.

Sawa dr. Mzizii
 
Ndugu madaktari leo nimejishangaa baada ya haja kubwa wakati najisafisha nimegundua kuna viuvimbe viwili kama majipu makubwa pembeni ya eneo hilo&#1563;&#1563;naomba madaktari mnishauri
 
Pengine una uvimbe unaoitwa kwa kizungu Piles. Ikiwa ni piles, utapewa vidonge vya kuingiza mkunduni na uvimbe utapotea moja kwa moja. Hata hivyo ni bora ukachekiwe hospitali.
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom