Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Ukiweza kupata majani ya mlonge ukachemsha ukanywa yaan unapona kabisa within a week unapeta tuu, hata ukitafuna zile mbegu ila ni shida sanaa kichefuchefu bora majani
 
Back
Top Bottom