BAWACHA yalaani wabunge wa CCM & CUF kupitisha mswada wa katiba mpya....

BAVICHA tujiandae kwa kazi kubwa kuliko kawaida kwa hapo wiki chache zijazo; haya maudhi ya Muswada wa Makinda kuhusu uundwaji Katiba Mpya ndio kama hivo muda wa KWENDA KWENYE MAHAKAMA YA WANANCHI umekaribia.
 
Back
Top Bottom