BAWACHA wanunua kesi ya mwanamke kujifungua Polisi

Ndugu Yehodaya, nimesoma mada zote zilizotangulia katika bandiko hili, mbona sijaona pahala popote Halima Mdee akijinasibu!!!
Halima Mdee anajua ninachongea kuhusu hospital kwa doctor massawe to hell with you it is non of your business I am not talking to you shut up
 
Andika lugha unayoiweza hiyo ya mabwana zako huiwezi
Kashindwa nini hapo? Kwa u-BASHITE wako unaona amekosea? Magufuli anaona na kufurahia michango kama hii ya kwako? Kazi kweli, kweli! Kilangila.
 
Kujifungua mtu aweza jifungulia bafuni akioga,daladala,ofisini,msibani,kwenye mwendo Kasi,kwenye boda boda,stendi,mkutano wa chadema etc inategemea uchumi umemkuta wapi that is not a big case you.Mwenyekiti wa bawacha halima Mdee anajijua mwenyewe Hana mume Wala mtoto Na hajui utungu wa kuzaa ni kitu gani? namshauri kama mbunge wa kawe kuna hospitalii kubwa jimboni kwake ya Dr Massawe asijifanye haijui anaijua sana tu Na imesheheni madaktari bingwa akawahoji utungu unakuwaje kwa mjazito mwehu mkubwa asiyejua hata utungu ni kitu Gani? Aulize hospital hiyo tu Na Nina maana yangu yeye nadhani kanielewa vizuri tena mno mjinga mkubwa.Bull shit.Halima Mdee behave yourself
haya ni madhara ya kufi**a hadi akili za utu huea zinaondoka unabaki unyama mwilini
 
Katibu mkuu kaongea Kwa niaba ya Mwenyekiti Halima Mdee huyo amezaa au yuko kama Mdee hajui utungu waweza mkuta mwanamke popote ghafla? Iwe kwenye Basi,daladala,bajaji,stendi au popote.Huyu katibu mkuu chadema alishawahi zaa au ni nungayembe?
Ulivomkalia kooni, Khaaaaaaaaaa msamehe bhana
 
Back
Top Bottom