BAWACHA: Spika Ndugai kuita barua rasmi kipeperushi ni kiburi cha madaraka. Amekuwa Mtetezi wa wanawake kuanzia lini?

Jana nilimwona na kumsikia Mhe. Spika Live akizungumzia hatma ya Wabunge 19 wa CHADEMA wanaotakiwa kufukuzwa Bungeni. Binafsi ninatofautiana na Mhe. Spika kuhusiana na hawa Wabunge. Kisheria hawapaswi kuwa Bungeni kwa sababu zifuatazo:...
Pale hatuna Spika tuna Garasa.
 
Hivi wabunge viti maalumu wanateuliwa na Spika? Ndio maana wakati wa Hayati Magufuli kila kitu kilipitishwa. Spika anadhani anajua kanuni kuliko mtu yeyote jambo ambalo si kweli. Spika avuliwe kinga maana anaitumia vibaya
 
Jana nilimwona na kumsikia Mhe. Spika Live akizungumzia hatma ya Wabunge 19 wa CHADEMA wanaotakiwa kufukuzwa Bungeni. Binafsi ninatofautiana na Mhe. Spika kuhusiana na hawa Wabunge...
Acha kutapatapa wamama walikata lufaaa. Onesha kikao kilichoketi kujadli rufaaa . kama siomaoneziiii tuuuu
 
Kuna wasomi walitumia miaka mitano kuwatukana na kuwadhalilisha watu wenye upeo mpana na waliotuzidi maendeleo kwa kuwaita mabeberu. Wasomi hawa walifika wakati wanatuaminisha hata mtanzania mzalendo anayewaza sahihi kuhusu nchi hii anatumiwa na mabeberu.

Kauli mbiu ya mabeberu iliwajaa watu wazima na waliokombolewa kwa elimu nzuri huku wakujua fika kwamba wanachokifanya siyo kile wanachokiamini.

Nikifuatilia kuanzia tarehe 17/03/2021 neno mabeberu alitumiki Tena, hotuba bungeni na michango ya kamati na wabunge mbalimbali haina kitu kinaitwa mabeberu. Tujiulize waliotuaminisha tupo kwenye Vita na mabeberu wameishia wapi? Kwanini walituadaa na kunyamazisha watu kupitia dhana ya ubeberu?

Huko wapi uzalendo wao? Je baada yakulivuruga Taifa wanapewa adhabu gani? Je, wanaofanya mikutano na Mawaziri na hata Mhe. Rais tuendelee kuwaita mabeberu?
 
..Mdee na wenzake wanajua wamefukuzwa.

..Na wamekata rufaa ktk kilichokuwa chama chao.

..Kwa maana hiyo Mdee na wenzake wanajua wao sio wanachama wa Chadema.

..Swali la kujiuliza ni kwanini wanaendelea kuhudhuria vikao vya Bunge?
 
Ndugai kaamua kusutwa na wanawake! Cha ajabu kashupaza shingo

Sasa maandamano yanakuja, akifa mtu hasira zitawawakia na kuamsha mengineyo
 
Hotuba ya Susan Kiwanga, Mjumbe wa Kamati Kuu

Tarehe 20 April 2021 Naibu Spika alitoa kauli Bungeni kwamba ofisi ya Spika haikuwa na taarifa rasmi ya CHADEMA kuhusiana na kuvuliwa uanachama kwa waliokuwa wanachama wake 19...
Ni kama mzee Ndugai ameingia choo cha kike kirahisi. Huku ndiko kuingilia mambo ya chama kingine hata kama hakifai. Kwanini wasiridhike na kina Nyalandu wakaachana na Covid-19?
 
Hotuba ya Susan Kiwanga, Mjumbe wa Kamati Kuu

Tarehe 20 April 2021 Naibu Spika alitoa kauli Bungeni kwamba ofisi ya Spika haikuwa na taarifa rasmi ya CHADEMA kuhusiana na kuvuliwa uanachama kwa waliokuwa wanachama wake 19....
Eti CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani. Sijui ujinga huu wanautoa Ufipa?
 
Huyu wacha apambane na Balaza la wanawake wa CDM ndiyo saizi yake!
Inawauma sanaaa Hivi viti maalumu.

Tubadili katiba tufutilie mbali.

Kama ni wanawake kuwapo bungeni tuwatengee majimbo kabisa wagombea wote wa vyamawateuliwe wanawake tu. Hii inaleta masuala ya kimapenzi kulingana na mabosi wa Vyama.
 
The man is not sick. Ana akili timamu kabisa. Kitu ambacho wengi wetu tunashindwa kuelewa ni kwamba Ndugai hatetei hao COVID-19, bali anatetea LIGASI. COVID-19 ni mojawapo ya LIGASI kuu za Chuma, Shujaa wa Afrika ambazo watetezi wamejiapiza watazitetea mpaka silaha ya mwisho iliyoko mikononi mwao! Kwa hivyo, ni mpambano mgumu.
Kwahiyo Ndugai anapambana na Maamuzi ya wengi wa Chadema?

Hili halita mwacha salama.

Jiwe alipambana kumaliza Mbowe binafsi alimuandama mpaka kwenye kitovu alipozaliwa kwakungoa matembele ili afe njaa leo yupo wapi?

Ndugai acha umwamba wa kigogo wakishavuna (chaponaa) kupigana na kuzaana hovyo.

Ndugai kwa usipika wako(chaponaa) inakusumbua Ugogolism.

Ndugai nakushauri ya Ngoswe muachie Ngoswe.

Ndugai kwa hili Huna Mashiko!!
 
Back
Top Bottom